KUZURU NA KIMATAIFA

Maelezo ya jumla

  • Kuzuru Kimataifa
  • Namna ya kuweka huduma ya Kuzuru

Kuzuru Kimataifa

Kuzuru Kimataifa

  • Hakuna sababu ya kununua laini nyingine unaposafiri nje ya Tanzania
  • Pata gharama nafuu zaidi kupiga simu, kuperuzi intaneti na kutuma SMS
  • Pata punguzo uwapo kwenye maongezi, intaneti na SMS ukiwa nje ya nchi
  • Tunajua ungependa kuwa na mawasiliano ya uhakika popote iwe ni ndani au nje ya nchi. Ndio maana tumekupa huduma itakayokuwezesha kupiga na kupokea simu bila wasiwasi unapotembea popote duniani. Vumbua gharama zetu nafuu za kupiga simu kimataifa na kuzuru zitazokuwezesha kutumia laini ya Vodacom bila wasiwasi utembeapo popote duniani.
  • Vodacom pamoja na washirika wake wa kimataifa, wamehakikisha vifurushi na gharama za kuzuru ni nafuu zinaazokidhi mahitaji yako ya kibishara na kitalii popote unapokwenda.

Namna ya kuweka huduma ya Kuzuru

Namna ya kuweka huduma ya Kuzuru

  • Hakikiasha una salio la kutosha kwenye simu yako. Hakuna kiasi maalum kinachotakiwa itategemea namna ya matumizi yako. Mfano hauhitaji kuweka salio ili kupokea SMS!
  • Piga Hudumaa kwa Wateja 100/101 kwa msaada ya kuweka huduma hii kwenye simu yako. Huma hii ni BURE na itaondolewa tu kama utaomba kwa kupiga tena Huduma kwa Wateja.
  • Zima kisha washa simu ufikapo nchi unayosafiri. Mtandao utaunganishwa moja kwa moja na mshirika wetu wa kuzuru. Kama simu imeshindwa kupata mtandao, fungua sehemu ya kuchagua mtandao na uchague mtandao wa mshirika wetu wa huduma ya kuzuru.

Nunua kifurushi

KUZURU NA KIMATAIFA

Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa