• Maelezo
  • Gharama
  • Jinsi ya kushiriki
  • Vigezo na Masharti

Maelezo

Tusua Mapene ni promosheni mpya ya bahati nasibu kwa wateja wa Vodacom pekee. Mteja yoyote anapata nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa.

Kuna Zawadi za papo hapo ambazo ni shilingi Milioni 100 kwa mshindi mmoja na Milioni 20 kwa washindi watano

Kila siku Zawadi za kuanzia Laki 5 hadi Milioni 15. Na kwa mwezi ni shilingi Milioni 15.

Kwenye droo kubwa ya mwisho wa promosheni mshindi atajinyakulia milioni 150.

Gharama

 

Njia ya kushiriki

Gharama (Tsh)

Kete kwa siku

Gharama ya kete

Kifurushi cha Mwezi cha MPESA

6000

30

200

Kifurushi cha Wiki cha MPESA

1800

7

257

Kifurushi cha Siku cha MPESA

300

1

300

Kifurushi Kikuu cha MPESA

6000

Gharama/200

200

Kujiunga kwa Siku

300

1

300

SMS zaidi

300

1

300

Jinsi ya kushiriki

JINSI YA KUSHIRIKI

Ili kushiriki, mteja atatakiwa kutuma ujumbe mfupi(SMS) kwenda 15544 and ajiunge kwa Tsh 300 kwa siku au kununua kete kwa M-Pesa aidha za siku, wiki au mwezi au vifurushi zaidi atakavyo, kifurushi cha siku kwa Tsh 300 - kete 1, au kifurushi cha wiki kwa Tsh 1,800 – kete 7, au kifurushi cha mwezi Tsh 6000 – kete 30, au Tsh 200 kwa kete kwa vifurushi vya gharama zaidi ya Tsh 6000

 

Tofauti na promosheni zingine, TUSUA MAPENE inakupa  wigo mpana wa njia za kushiriki na zote zikiwapa wateja wetu nafasi sawa za ushindi. Nazo ni:

 

 

  • SMS (15544)
  • Menu ya USSD  (*149*01#)
  • MPESA (Akaunti binafsi  au kupitia kwa Wakala)

 

 

 

Ushiriki wa bure siku ya kwanza:

Ili kuingia kwenye promosheni kama mshiriki wa bure “wa zawadi ya kwanza ya papo hapo”, mshiriki anaweza kununua bando lolote kati ya bando zilizopo na bando maalumu zinazotoa nafasi ya ushiriki/kuingia kwenye droo.

Baada ya kujiunga na bando hilo na kila SMS inayotumwa baada ya hapo, mshiriki atapokea SMS mbili kama majibu kwa kila SMS atakayotuma kwenda kwenye namba ya husika

 Baada ya mshiriki kutimiza mahitaji yote kwenye vifungu vya 3 na 4.1 hapo juu, ataingizwa moja kwa moja kwenye droo ya bahati nasibu kama ifuatavyo;

Washiriki wa promosheni hii watajipatia kete/pointi 1 kwa kujiunga kwenye promosheni. Kila kete/pointi ni sawa na kuingia kwenye droo moja.

Vigezo na Masharti

Vigezo na Masharti ya Shindano la TUSUA MAPENE.

Kumbuka:

A.      Vigezo na masharti yanayofuata yana dhana ya kuweka au kuondoa ukomo wa wajibu, haki au majukumu ya kisheria ambayo kampuni ya Vodacom (“Vodacom”) ambayo hapa inajulikana kama (“Promota”) itakua nayo dhidi yako na watu wengine. Vigezo na masharti haya vinaweza kupunguza na kuondoa haki na stahiki zako dhidi ya promota na kuweka wajibu na majukumu ya kisheria juu yako. Sambabmba na hayo, vigezo na masharti haya vinaweza kukupa jukumu la kulipa gharama zaidi na promota anaweza kuwa na malalamiko na haki dhidi yako.

 

B.      Kwakuwa vigezo na masharti au bidhaa au huduma zinazotolewa vinasimamiwa na sheria inayomlinda mtumiaji (“Sheria inayomlinda mtumiaji”), hivyo basi vigezo na masharti haya havitakinzana na sheria hiyo inayolenga kumlinda mtumiaji.

 

C.      Tafadhali soma vigezo na masharti haya kwa umakini. Ushiriki katika promosheni hii utaashiria kukubaliana kwako na vigezo na masharti haya.Kama haukubaliani na vigezo na masharti haya, tafadhali usishiriki katika promosheni hii. Ni wajibu wako kupitia vigezo na masharti haya mara kwa mara.

1. Promosheni:

Kampeni ya Vodacom ya kuhamasisha ushiriki wa shindano la (“Promosheni "). Promosheni hii imeandaliwa na VODACOM akijulikana kama ("Promota"). Promosheni inawapa wateja nafasi ya kushiriki kweye shindano ambalo wateja wanaweza kushinda zawadi kama zinavyoelezewa kwenye vigezo na masharti haya.

2. Muda wa Promosheni

Promosheni itaanza saa 00:01 usiku wa tarehe 6/11/2017 na itaendelea mpaka saa 05:59 usiku wa tarehe 6/1/2018. (“Muda wa promosheni”). Vodacom ina haki ya kuongeza muda wa promosheni na kutangaza zawadi.

3. Mshiriki wa shindano:

3.1 Ili kushiriki, mshiriki atatakiwa kuwa:

3.1.1 Mteja yoyote wa Vodacom (PayAsYouGo, TopUp au Contract)

3.1.2 Kuwa mtu wa kawaida; na

3.1.3 Kuwa na umri wa miaka 18 (kumi na nane) au Zaidi.

3.2 Ushiriki katika shindano hili haujumuishi wafanyakazi, wakurugenzi, wanachama, washirika, washauri na mawakala wa, au mtu mwingine ambaye, moja kwa moja au pasipo moja kwa moja ana udhibiti au anadhibitiwa na Promota au watoa huduma ya masoko wa promosheni hii, (na wanandoa,wapenzi,wanafamilia kwa karibu au washirika wa biashara au taasisi ziliotajwa hapo juu). Hii inamaanisha:

3.2.1 Promota;

3.2.2 Watoaji bidhaa na huduma katika promosheni hii na;

3.2.3 washirika wa promosheni, mashirika ya kuprinti,matangazo na promosheni, washauri wa kitaalamu na wafanyakazi wa mauzo walioajiriwa na au wenye mkataba wa, au kutoa bidhaa au huduma ya aina yoyote, kwa watu wote au taasisi zilizotajwa hapo juu wakati wa Kipindi Promosheni.

4. Jinsi ya kujiunga:

4.1 Katika kipindi cha promosheni, ni lazima washiriki kuwa na sifa zote zilizoelezwa kwenye kifungu cha 3 hapo juu na lazima afanye yafuatayo ili kushiriki;

Ili kuweza kushiriki, ni lazima mteja apige *149*03# na kununua bando lolote la Tusua Mapene kati yayale yaliyoko katika menyu ya “ya kwako tu”.

Tofauti na promosheni zingine, kampeni ya kuhamasisha ushiriki inatoa ofa za kuingia kwenye droo sambamba na muda wa bando kuisha(bando moja ya siku ni sawa na tiketi 1 ya  droo,bando moja ya  wiki ni sawa na tiketi  7 za droo. – Mwezi  (kuingia kwenye droo mara 30).

4.1.1 Ushiriki wa bure kwa siku ya kwanza:

4.1.1.1 Ili kuingia kwenye promosheni kama mshiriki wa bure “wa zawadi ya kwanza ya papo hapo”, mshiriki anaweza kununua bando lolote kati ya bando zilizopo na bando maalumu zinazotoa nafasi ya ushiriki/kuingia kwenye droo.

4.1.1.2 Baada ya kujiunga na bando hilo na kila SMS inayotumwa baada ya hapo, mshiriki atapokea SMS mbili kama majibu kwa kila SMS atakayotuma kwenda kwenye namba ya husika.

4.2 Baada ya mshiriki kutimiza mahitaji yote kwenye vifungu vya 3 na 4.1 hapo juu, ataingizwa moja kwa moja kwenye droo ya bahati nasibu kama ifuatavyo;

4.2.1 Washiriki wa promosheni hii watajipatia kete/pointi 1 kwa kujiunga kwenye promosheni. Kila kete/pointi ni sawa na kuingia kwenye droo moja.

4.2.1.1 Zawadi za siku:

Pale ambapo mteja atanunua bando, ataingia kwenye droo za kila siku ili kuweza kuwa mmoja ya washindi 10 watakaoshinda 100,000 kila mmoja;

  • Bando lolote la siku linamuingiza mteja kwenye droo ya siku ya bando alilonunua.
  • Bando lolote la wiki inamuingiza mteja kwenye droo ya kila siku kwa siku 7 kuanzia siku aliyonunua bando hilo.
  • Bando lolote la mwezi linamuingiza mteja kwenye droo ya kila siku kwa siku 30 kuanzia siku aliyonunua bando hilo.
  • Ukiacha ugawaji wa kete uliopangwa, mteja anaweza kutumia kete zake ndani ya siku moja ili kuweza kuongeza nafasi zake za kushinda au kuzitumia katika ofa zingine.

4.3 Kujiunga katikw promosheni kwa kutumia vifaa kama (dongo,vifaa vya telemetry n.k) au mashine hairuhusiwi na endapo mshiriki atatumia vifaa hivyo hatakua na haki ya kushinda zawadi.

4.4 Droo za bahati nasibu zitafanyika kila siku kama ratiba ya zawadi ilivyopangwa.

4.5 Washindi watataarifiwa kupitia njia ya simu na promota au wakala wenye mamlaka baada tu ya droo hizo kumalizika.

4.6 Mshiriki anatakiwa kujua na kukubali kwamba promota atatumia mhusika wa tatu ( wakala walioidhinishwa na promota) kuwasiliana na mshiriki pale ambapo atakua ameshinda na kupanga kuhusu mapokezi ya zawadi ili kuweza kurahisisha mchakato wa mawasiliano na mapokezi ya zawadi.Promota atatoka taarifa za mshiriki kwa mhusika huyo wa tatu.

5. Zawadi

5.1 Washiriki 10 ambao watatimiza mahitaji/masharti yote kama inavyoainishwa kwenye kifungu namba 3 na 4 hapo juu, wana nafasi ya kushinda kama ifuatavyo:

5.1.1 100,000 TZS kila mmoja

 

 

6. Maelezo Zaidi kuhusu jinsi ya kushiriki:

6.1 Kujiunga na kuendelea kushiriki kwa njia ya SMS:

Mteja atapiga *149*03# na kupata bando la promo la bure la siku, wiki au mwezi na kuingia katika droo.

Kadri unavyonunua bando nyingi, ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi zako za kushinda.Ofa Zaidi zitaelezewa kwa wateja ili kuongeza ushiriki na uaminifu wa huduma za “ya kwako tu ofa”

8.         Upatikanaji wa taarifa na utaratibu wa jinsi ya kujitoa:

8.1.      Taarifa zote za washiriki wa promosheni zinazohusiana na promosheni hii zitachapishwa kwenye www.facebook.com/tzvodacom na pia zitapatikana kwa kupiga namba 100 kuongea na huduma kwa wateja wa promota. (bila malipo)

8.2.      Kila mshiriki ana uwezo wa kujitoa kwenye promosheni na kuacha kuendelea kupokea taarifa zozote za promosheni kwa kutuma SMS kuandika neno “STOP au ONDO” kwenda namba 15544 au kwa kupiga namba 100 (bila malipo) kuongea na huduma kwa wateja na kuomba kuondolewa kwenye promosheni. Endapo mshiriki ataamua kutuma SMS mpya kwenda namba 15544, atachukuliwa tena kama mshiriki kwenye promosheni.

8.3.      Kama promosheni itasitishwa kwa sababu yoyote ile, Promota wa promosheni atachapisha taarifa ya kusitishwa kwa promosheni kwenye www.facebook.com/tzvodacom.

8.4.      Kukatishwa au kuondolewa kwa promosheni kabla ya muda wake kuisha hakutamfanya promota kuacha wajibu wake wa kutoa zawadi zilizoshindaniwa na kushinda au kufanya jambo jingine lolote analotakiwa kufanya isipokuwa tu pale ambapo kusitishwa au kukatishwa kwa promosheni hii kumetokana na matendo na matukio yaliyo nje ya uwezo wa Promota.

8.5.      Promota wa promosheni hatatoa taarifa binafsi za washiriki wa promosheni kwa mtu yeyote yule asiyehusika isipokuwa tu pale anapotakiwa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

8.6.      Promota ana haki ya kutokuingia kwenye majadiliano/makubaliano ya maandishi au kuwasiliana na washiriki wa promosheni isipokua tu kwa mujibu wa vigezo na masharti ya promosheni hii au kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

8.7.      Promota anabaki kuwa na haki ya kuongeza namba (short codes) kwa matumizi yoyote na katika kipindi chote cha promosheni

 

 

 

 

 

 

 

 

9. Vigezo na Masharti mengine:

9.1 Promota,wakurugenzi wake husika, washirika, wanachama, wafanyakazi, mawakala, washauri, wasambazaji, makandarasi, matawi na wadhamini hawatohusika uharibifu au hasara kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja,ikiwa ni pamoja na madhara ya kimwili au kifo kwa njia yoyote ile kutokana na mshiriki kuingia kwenye promosheni au kukomboa zawadi zozote zinazotokana na promosheni hii,au kutokana na marekebisho ya taarifa ya zawadi na/au vigezo na masharti ya promosheni hii.Washiriki wote(pamoja na washindi) wanatamka hadharani kuwa hawatakuwa na madai dhidi ya promota kuhusuiana na promosheni hii au madai yoyote yatakayotokana na sababu zilizotajwa hapo juu.

 9.2 Pale kutakapokuwa na ulazima kutokana na mujibu wa sheria au sababu ambazo ziko nje ya uwezo wa promota , promota ana haki ya kubadilisha asili ya promosheni,zawadi au vigezo na masharti kwa kutoa ilani itakayochapishwa kwenye www.vodacom.co.tz au katika chombo kingine cha habari .Iwapo zawadi itabadilika au kutokuwepo, promota atabadilisha zawadi na zawadi yenye thamani sawa na hiyo.

9.3 Kuhusiana na kifungu 8.2 hapo juu, marekebisho yoyote ya vigezo na masharti yatakayochapishwa kwenye vyombo vya habari vyovyote au katika tovuti ya VODACOM www.vodacom.co.tz yatakua sehemu ya vigezo na masharti ya promosheni ambayo washiriki wamekubali kuyafuata.

9.4 Washindi watapigiwa simu na/au kutumiwa barua pepe kulingana na njia ya mawasiliano iliyotolewa na mshindi pindi alivyojiunga na shindano hili. Tafadhali kumbuka kuwa washindi hawatapewa taarifa kupitia njia ya SMS. Promota atajaribu kuwasiliana na mshindi kwa muda wa siku 10 baada ya jina lake kutambulika kama mshindi. Iwapo namba ya mshindi haipatikani (ndani ya muda uliowekwa katika kifungu 8.4)au ikatokea mshindi akakataa kuikubali zawadi basi zawadi itawekwa tena kwenye droo upya. Endapo mshindi atakuwa hapatikani kwa ajili ya kuipokea zawadi yake baada ya kushinda, promota atajaribu kuwasiliana na mshindi kwa muda wa wiki moja (1) na kama mshindi atakuwa hapatikani , zawadi itarudi upya kwenye droo.

9.5 Zawadi haiwezi kuhamishwa wala kubadilishwa na zawadi nyingine.

9.6 Uamuzi wa Promota kuhusiana na migogoro inayojitokeza kuhusiana na hii promosheni itashughulikiwa na promota kufuata vigezo na masharti ya promosheni hii kama yalivyoainishwa. Uamuzi wa promota katika suala hili utakua wa mwisho.

9.7 Washindi wana haki ya kushinda zawadi 1 (moja)tu kila kwenye kila mzunguko wa droo. (yaani zawadi kwa kila droo inayofanyika kwa siku na mwezi) lakini wanaweza kushinda zaidi ya mara moja kwa zawadi za papo hapo. Ili kuondoa mashaka, kila mshiriki mwenye sifa ana haki ya zawadi moja kwa kila droo itakayofanyika kwahiyo ana nafasi mbili za kushinda zawadi (moja kila aina)

9.8 Promota ana haki ya kushikilia zawadi mpaka atakaporidhika kwamba mdai wa zawadi hiyo ndiye mshindi sahihi na pia ana haki ya kuomba ushahidi pale itapobidi.

9.9 Promota (ikiwa ni pamoja na wawakilishi wake walioidhinishwa) wana haki ya kuchunguza watumiaji na/au akaunti zenye ulaghai, matusi , au tabia zisizoeleweka kwa hiari yake pekee, ndani ya muda wa promosheni, wakati wa droo za zawadi au baada ya washindi kuchaguliwa. Promota ana haki, kwa hiyari yake ,kumuondoa mshiriki bila kutoa taarifa kwa mshiriki.

9.10 Promota ataomba ridhaa ya washindi kuweka kwa maandishi kwamba wamekubali majina,sura na picha zao kutumika na kuchapishwa na promota kuhusiana na promosheni hii kwa kipindi cha miezi 12 baada ya kutangazwa kama mshindi.Washindi wanaweza kukataa majina,picha na sura zao kutumiwa na promota kwenye matangazo.

9.11 Kwa kushiriki katika Promosheni hii, washiriki wanakubali kwa ridhaa yao kuongozwa na vigezo na masharti kama ilivyoainishwa.

9.12 Kwa kushiriki katika Promosheni hii washiriki wote wanatoa ridhaa yao ya kupokea matangazo mbalimbali kuhusu promosheni kutoka kwa promota. Washiriki watakuwa na uhuru wa kujiondoa na kuacha kupokea mawasiliano hayo, ambayo inaweza kufanyika kupitia njia ambayo mawasiliano hayo yamepokelewa.

9.13 Washindi wanakubaliana na sharti la promosheni kwamba ili kuwa na haki ya kudai zawadi, mshindi atatakiwa kusaini na kukiri kupokea zawadi, pamoja na kiapo cha kuondoa wajibu na majukumu au dhana ya kisheria kama inavyoainishwa kwenye vigezo na masharti ya promosheni husika.

Listi ya Washindi

# Jina Mkoa Zawadi
1 Benard Msuya Geita 5,000,000
2 Rosemary Jimmy Singida 4,500,000
3 Izak Deo Kahama 4,500,000
4 Altos Mdenye Njombe 15,000,000
5 Yohana Mwite Morogoro 3,000,000
6 Gaudence Kinari Mbeya 500,000
7 Clarace Macharau Sumbawanga 3,000,000
8 Maria Bimlongo Mbeya 15,000,000
9 Bernard Ngusaro Ifakara 6,500,000
10 Petro Nasari Arusha 500,000
11 Edita Magubi Shinyanga 3,500,000
12 Abdallah Mnalema Dar 7,000,000
13 Octavian Ngosongo Dar 2,000,000
14 Attu Mwakobela Mbeya 1,000,000
15 Esta Alfan Dodoma 500,000
16 Andrea Mrino Arusha 500,000
17 Andrew Komba Songea 500,000
18 Schola Sonaya Mbeya 2,500,000
19 Imani Marundi Mwanza 15,000,000
20 Iddy Kadegi Iringa 6,000,000
21 Fabian Masiai Dar 500,000
22 Nathaniel Maiko Mwanza 3,500,000
23 Hamis seif Said Sumbawanga 500,000
24 ANSILA NAMBONDE Songea 15,000,000
25 Hamis Bakari Morogoro 500,000
26 Dennis Damas Dar- Tandale 500,000
27 Salome Matthew Igoma 500,000
28 Pangu Yegela Butimba 500,000
29 Tumsifu Ezekiel Mwanza 500,000
30 Rodison Enock Mwanza 1,000,000
31 Magreth Humba Mbeya-Mbozi 500,000
32 Elias Jesrika Shinyanga 500,000
33 David Malela Dar 500,000
34 Nazareth Kisunga Songwe 500,000
35 Leopard Mpende Arusha 15,000,000
36 Paul Makongo Ukerewe 1,500,000
37 Ester Likombe Dodoma 500,000
38 Bryson Kilawa Njombe 1,000,000
39 Asteria Anthony Kahama 15,000,000
40 Mtaki Kusaga Dar 500,000
41 William George Dar 500,000
42 Neema Maheri Shinyanga 500,000
43 Oliver Weliweli Arusha 500,000
44 Kenath Mruthuli Arusha 15,000,000
45 Edwin Kiponda Mbeya 500,000
46 Anna Lize Mwenda Mbeya 500,000
47 Tumsifu Mhini Kigoma 500,000
48 Andrew Mtenga Kigoma 500,000
49 Zindemba Mchanagandi Biharamulo-Bukoba 500,000
50 Joseph Kinde Iringa 500,000
51 Issac Ashley Katavi 500,000
52 Msafiri Mwakapala Songea 500,000
53 Aziza Kabinji Songwe 15,000,000
54 Donatha Matabalo Kilimanjaro 3,500,000
55 Rudovick Mtui Singida 500,000
56 Rinda Mhewa Iringa 1,000,000
57 Upendo Mlaga Mbeya 2,000,000
58 Hussein Kapela Paul Dar es Salaam 8,000,000
59 Hidaya I Mzirai Arusha 8,000,000
60 Leokardi Matthew Shirima Songea 12,500,000
61 Salum Mohamedi Kiluvya -Kibaha 500,000
62 Mwanahamisi Kasenje Pugu 500,000
63 Daudi Anania Mbeya-Tukuyu 500,000
64 Consava Mbawala Ruvuma 500,000
65 Joseph Danda Nyasa 4,500,000
66 Jonson Marya Dar es Salaam 2,500,000
67 Fadhili kamia Arusha 3,000,000
68 Fausta Mowo Mwanza 500,000
69 Saumu Rajabu Arusha 500,000
70 Miraji Ally Dar es Salaam(Buguruni) 500,000
71 Maria Mwanjuruni Bariadi 500,000
72 Mary Frank Dar es Salaam(Mabibo) 500,000
73 Aaron Moses Munisi Hai ( Machama) 500,000
74 Ntakirutimana Kidege Mpanda 500,000
75 Nurdin Idrisa Morogoro 15,000,000
76 Mendlady Paul Dar es Salaam 1,500,000
77 Andrew Kimario Shinyanga 3,500,000
78 Musa Sulemain Arusha 500,000
79 Gilbert Peter Arusha 500,000
80 Advella Mhinva Geita 15,000,000
81 Elia Mwanza Magu 500,000
82 Adella Godwin Mwanga Moshi Kilimanjaro 3,000,000
83 Alphonce Shirima Moshi 500,000
84 Silvia Msaki Dar es salaam 500,000
85 Anna Mwakatapiga Mbeya 500,000
86 Nasra Ginga iringa 1,000,000
87 Nassor Nassor Arusha 15,000,000
88 Ruth Bakari Dar es Salaam 500,000
89 Amani Mruma kilimanjaro 20,000,000
90 Joas Kanuku Mbeya 4,000,000
91 Ally Kilimanjaro Geita-Nyalugusu 15,000,000
92 Ally Said Tanga-Hale 1,000,000
93 Stephano Mahundi Nyasa-Ituhi 500,000
94 Fidelis David Mboya Pwani-Misugosugo 500,000
95 Mapinga Petro Ruvuma 500,000
96 Yohana Peter Geita-Mbongwe 6,000,000
97 Ibrahim Korongo Katavi Mpanda 500,000
98 Yusuph Musa Morogoro 4,000,000
99 Shaibu Isambe Dodoma 500,000
100 Moja Majanja Kahama 1,000,000
101 Bosco Mkwera Rudewa-Njombe 500,000
102 Peter Mlanditi Morogoro 500,000
103 Godwin Kasembe Dar es Salaam 15,000,000
104 Joshua Safieni Mbeme Dar es Salaam (Tegeta) 4,000,000
105 Faraja Mbede Meatu - Shinyanga 1,000,000
106 Ally Masoud Manyengo Shinyanga 15,000,000
107 Eliza Isaya Mwanza ( Nyamagana) 7,500,000
108 Abel Richard Kigoma(Kibondo) 500,000
109 Christian Kitazi Chunya 1,500,000
110 Oliver Petro Makambako 500,000
111 Suleiman Barakumbei Kigoma 500,000
112 Paul Simon Sembo Nzega Tabora 15,000,000
113 Kaziruni Mrisho Senge Mbezi ya Kimara 3,000,000
114 Isaya George Tanga 500,000
115 Willison Bunyaga Kilombelo Sukari 1,000,000
116 Aqulina George Geita 500,000
117 Method Msigwa Njombe 15,000,000
118 Mwajuma Shomali kilimanjaro- Same 15,000,000
119 Zareria alphoence Tabora 500,000
120 Asha Mabira Shinyanga 500,000
121 Praygod Njilo Moshi 2,500,000
122 Fausta Kitime Njombe 1,000,000
123 Muskini majuto Lubangula Mwanza 15,000,000
124 Zakaria Amosi Musoma 500,000
125 Ernest Mwita Dodoma 20,000,000
126 Aquenous Amolo Dar es Salaam 20,000,000
127 Ngolo nsako Geita 12,000,000
128 Laurent Borongo Bukoba Mjini 500,000
129 Meliki Kibiki Makambo 8,000,000
130 Yahaya Mohamed Da es Salaam 2,500,000
131 Forgeth Nasibu Iringa 4,000,000
132 David Shirima Arusha 500,000
133 Ezra Chaula Singida-Manyoni 500,000
134 David Paul Mnzava Dodoma 4,500,000
135 Kau Ndumi Sahani Dar es Salaam 500,000
136 Mary Msaky Kilimanjaro 500,000
137 Shakira Hassan Songea 1,000,000
138 Lucia Stilliano Sumbawanga 500,000
139 Elius Mgumi Mbeya 15,000,000
140 Ayoub Masoud Dar es Salaam (Tabata) 3,500,000
141 Sifa Kyela 500,000
142 Martha Laurence Mafinga-Iringa 1,500,000
143 Mlay Phillip Dar es Salaam 1,000,000
144 Motela Sanga Mfindi 500,000
145 Ayoub Daniel Singida 6,500,000
146 Bavina Luwavi Iringa 9,000,000
147 Ezekia Mwapamba Iringa 500,000
148 Stewart Kawago iringa 15,000,000
149 Tom Lianga Arusha 3,000,000
150 Eliakus Mjuni Mtawala Mtwara 13,000,000
151 Marko Sanga Mbeya 500,000
152 Mussa Kiberesho DSM 500,000
153 Liza Hangwa Mtwara 3,500,000
154 Hassan Msangi Iringa 15,000,000
155 Dogfrey Kajinga Tanga 500,000
156 Maria Charles Arusha 500,000
157 Happiness Mushi Arusha 2,500,000
158 Venosa Vincent Mashanda Moshi 4,000,000
159 Jamira Muddy Geita 500,000
160 Elias Maligo Dar es Salaam 4,500,000
161 Atete Mlangwa Iringa 500,000
162 Anthony Mwalulambo Dar es Salaam 500,000
163 Khadija Ally Moshi 13,500,000
164 Alfred Kileo Manyara 500,000
165 Esther Keneth Morogoro 1,500,000
166 Annathan Dar es Salaam 500,000
167 leonard Sinzano Tanga 500,000
168 Richard Mwanjala Mbeya 500,000
169 Abinadabu Sawe Machame 15,000,000
170 Mary Ndamila Moshi 15,000,000
171 Joseph Christopher Kahama 2,500,000
172 Mohamed Hassan Arusha 3,500,000
173 Paulina Michael Simiyu-Maswa 500,000
174 Abbas Geodfrey iringa 1,500,000
175 Daniel Kimey Tunduma 500,000
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa