Anza sasa, ishi katika mtandao
wenya kasi zaidi tanzania

Nunua bando na update zaidi

4G - Ni mwendo wa mtandao wenye spidi yenye kasi zaidi Tanzania

Kuhusu kasi ya 4G

Kasi ya intaneti kwenye mtandao wa Vodacom ni ya juu zaidi popote ulipo Tanzania.

Kutoka Bulombora hadi Nanyumbu, Dar es Salaam mpaka Isevya unatumia spidi ya kasi kusikiliza muziki, kucheki video bila kukwama, kushare picha na vyote unavyopendelea kwenye mtandao wenye kasi zaidi Tanzania

Ni spidi ya hali ya juu ukiwa na Vodacom kwa matumizi yoyote na popote ulipo.

Nunua bando na upate zaidi

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa