Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Connected car

Kujua gari yako ilipo pekee haitoshi.

Vodacom Connected Car ni huduma inayotoa suluhisho zaidi ya kufuatilia gari lako lilipo. Inatoa huduma na ripoti muhimu kwaajili ya maamuzi ya kiabiashara. Inaruhusu biashara kufuatilia na kupata ripoti:

Kufuatilia utumiaji wa mafuta

Kuhusu tabia za uendeshaji wa madereva wako na kukutumia ujumbe pale wanapo kata kona kwa nguvu sana, kufunga breki ghafla, au kuendesha kwa kasi sana.

Pia kuna faida nyingi nyingine kama usimamizi wa mafuta, kuweka mipaka ya uendeshaji, taarifa ya dharura na hatari, utambulishi wa madereva wote na vinginevyo.

ConnectedCar inaweza kutumika kupitia kompyuta au simu kwa urahisi zaidi.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa