Karibu Kwenye Malipo ya Ankara na Matumizi

Kusanya malipo kwa urahisi bila kikwazo cha muda kwa kutumia M-Pesa

Malipo ya ankara na matumizi ni huduma ya ukusanyaji ambayo inawezesha kampuni/taasisi kukusanya pesa wakati wowote kupitia M-Pesa

Kupitia namba za kulipa ankara, kampuni/taasisi Wanaweza kuwahudumia wateja kwa ubora zaidi kwa kuwa wateja wataweza kulipia huduma kwa urahisi zaidi na kwa wakati. Huduma ya malipo ya ankara ya Vodacom imewezesha malipo ya muamala mmoja au miamala mingi kama ikiwezekana.

Furahia uharaka, usalama, okoa muda, gharama nafuu, malipo ya papo papo kama LUKU, ada za shule, ankara za huduma ya malipo kabla, tiketi za ndege, ankara za maji, malipo ya TV n.k

Rahisisha malipo ya kifedha leo kwa kutumia huduma ya malipo ya M-Pesa

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa