Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Bulk SMS

Bulk SMS ni njia rahisi nay a gharama nafuu ya kutuma ujumbe ufupi wa Maneno yaani SMS kwa watu wengi na kwa wakati mmoja.

Huduma hii inaipa kampuni uwezo wa kuwafikia wateja wengi, kuokoa muda na gharama pia kuwezesha ufuatiliaji kwa kupata ripoti kwa muda ulioafikiwa.

Pia inakuwezesha kutuma na kupokea taarifa za miamala na matangazo kwa bei nafuu.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa