Kwa nini uchague Vodacom kwa Huduma za Biashara

 • Mtandao mpana na wenye kasi zaidi

  Si tu tuna mtandao wenye kasi Zaidi Tanzania, bali tuna wigo mpana wa bidhaa zenye kasi na zenye suluhisho la mahitaji yako

 • Thabiti & Salama

  Tutahakikisha kuwa taarifa zako ni ziko sehemu thabiti na salama kama sehemu suluhisho la mahitaji yako

 • Thamani ya pesa yako

  Tuna wigo mpana wa bidhaa za hali ya juu, zisizo na shaka zinazokidhi mahitaji ya kila mmoja

 • Help & Support

  Avoid standing in queues-get help and guaranteed 24/7 with reliable support

Kampuni Kubwa
Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo..
Maelezo zaidi

Kampuni za Kati
Vodacom Biashara inashirikiana na kampuni zenye ukubwa wa kati kuwapa huduma zinazowasaidia kutimiza malengo..
Maelezo zaidi

Kampuni Ndogo
Vodacom Biashara inatoa huduma kwa biashara ndogondogo na kupitia teknolojia za kisasa wanawawezesha kukuza biashara zao..
Read more

Vodacom Business...

Vodacom Biashara inashirikiana na biashara za aina zote kuwapa huduma zinazowawezesha na kuwapa uwezo wa kujenga biashara zao zaidi.

Kupata maelezo zaidi na kujiunga na Vodacom Biashara wasiliana nasi kwa: Barua pepe - business@vodacom.co.tz , Kupiga simu - 0766 000 674

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa