VIFURUSHI VYA BIASHARA

Kwa nini uchague Vodacom kwa Malipo Baada

Mtandao bora
kwa Smatifoni yako

Mtandao wa
4G yenye kasi zaidi

Gharama Nafuu
Ofa za malipo kabla kwa vifaa vyako

Haraka na Rahisi
kununua Vifurushi vya Malipo Baada

Gharama za Biashara

  • Vifurushi vya Intaneti
  • Vifurushi vya Cheka Biashara
  • Vifurushi vya Kuzuru
  • Vifurushi vya Kimataifa
  • RED

Vifurushi vya Intaneti

Wasiliana na wateja wako au pata taarifa muhimu za mwenendo wa biashara na huduma zetu kwa mkataba wa miezi 24. Kupata huduma hii tutumie maombi yako kwenda business@vodacom.co.tz

Muda wa matumizi Bei(Tsh) Intaneti
Siku 7 Tsh 7000 GB 1.5
Tsh 13000 GB 3
Tsh 20000 GB 5
Siku 30 Tsh 9000 GB 1.5
Tsh 17000 GB 3
Tsh 23000 GB 5
Tsh 40000 GB 15
Tsh 80000 GB 40

Gharama za Malipo baada ni Tsh 204.8 kwa MB

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa matumizi kwa Malipo baada ni kwa

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa Intaneti ya Malipo baada ni kwa KB 50

Cheka Biashara

Muda wa matumizi Bei (Tsh) Dakika za mitandao yote SMS Intaneti (MB)
Siku 7 3000 35 300 80
20000 90 1000 120
10000 200 1500 150
Siku 30 10000 175 1500 100
20000 350 2500 300
30000 600 3500 500
50000 1000 5000 650

Kifurushi cha Kuzuru

Muda wa matumizi Bei(Tsh) MTC MTC SMS MOC
Siku 7 14000 10 10 10 10

Vifurushi cha kimataifa

Muda wa matumizi Bei(Tsh) Kifurushi cha kimataifa
Siku 7 Tsh 1000 Sek 90
Tsh 5000 Sek 600

International Super Pack - China, India, Canada, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza (Simu za mezani)

Muda wa matumizi Bei(Tsh) Kifurushi cha kimataifa
Siku 30 Tsh 1000 Dak 20
Tsh 5000 Dak 100
Tsh 10000 Dak 200

RED

Muda wa matumizi Bei(Tsh) Dakika za mitandao yote Dakika za kimataifa Intaneti(GB) Bonasi
Siku 30 30000 600 3 SOKONI BURE
50000 1000 8 SOKONI BURE
95000 2500 30 15 SOKONI BURE

Ofa Maalumu

Siku 7
Muda wa kifurushi
10GB
INTANETI

Mega Data Tsh 10000 TSH 10000

Je unahitaji Ofa za Malipo Baada?

Vodacom ina ofa mpya na nafuu za Biashara kwa Wateja wa Malipo Baada Hizi ni ofa za mkataba wa miezi 24. Kama unahitaji kufaidika na ofa hizi mpya, tafadhali wasiliana na maneja wako wa Vodacom anekusimamia

Terms and conditions apply

Pakua Aplikesheni ya Vodacom
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa