Karibu kwenye Fixed

Cloud Computing

Cloud computing inakupa suluhu ya wakati ujao. Majukwaa ya Vodacom cloud computing yanawezesha aina zote za seva, ulinzi na mifumo ya kuhifadhi taarifa. Cloud computing inaondoa umuhimu wa taasisi yako kuweka na kusimamia taarifa ndani ya ofisi. Cloud computing inakuwezesha kushughulika tu na shughuli zinazokuongezea kipato

  • Uwezo wa ziada wa kuhifadhi taarifa unaongeza ufanisi wa taasisi.
  • Huduma ya ulinzi na uhifadhi wa taarifa unongeza unyumbufu, kutokupoteza muda na rasilimali.
  • Inapunguza gharama ya kitengo cha IT
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa