Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Co Location

Huduma yetu ya Co-Location inakupa usalama, vifaa vya kupoozea, umeme, miundombinu ya kujiunga na kipimo cha upitishaji taarifa (Connectivity Bandwidth) kwa ajili ya ukusanyaji taarifa:

  • Vituo vyetu vimetimiza viwango vya ISO 2701 kwa ufanisi
  • Vituo vyetu vipo katika maeneo yanayotupa uwezo wa kufanya utendaji bora na kwa usalama zaidi. Hii inatupa uwezo wa kuhudumia kampuni kubwa kwa kiwango cha juu.
  • Vituo vyetu vya data vinapatikana Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es Salaam.
  • Kwa kulipia ada ya kila mwezi tunaweza kukupa huduma zitakazo kupunguzia gharama.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa