Akaunti ya makusanyo
M-Pesa kwa Biashara – Akaunti ya Makusanyo
Je wewe ni mwenye biashara ambae umeazimia kufanya makusanyo yako ya pesa kutoka kwa wateja wako yawe rahisi, haraka nay a uhakika? Tumia M-Pesa!
Utaweza kupokea malipo ya ana kwa ana au kutumia mtandao, ukiwa na akaunti ya makusanyo ya M-Pesa Biashara.
Utaweza kuangalia na kuhamisha kiasi kilichokusanywa kwenda benki ya kampuni wakati wowote kupitia tovti ya M-Pesa.
Wasiliana nasi kwa: M-PESABusiness@vodacom.co.tz kupata maelekezo namna ya kufungua akaunti ya makusanyo na uanze sasa!