Pinduapindua Maelezo ya jumla

100
ya Intaneti
Saa 24
Muda wa kifurushi

100 uniti + WhatsApp, FB & SMS BURE@Tsh1000

 • Whatsapp Bure
 • Facebook Bure
 • SMS Bure
Pata mpango huu
75
ya Intaneti
Saa 24
Muda wa kifurushi

75 uniti + WhatsApp, FB &Ujumbe wa Soka BURE@Tsh1000

 • Whatsapp Bure
 • Facebook Bure
 • Habari za michezo Bure
Pata mpango huu
260
ya Intaneti
Saa 24
Muda wa kifurushi

260 uniti + WhatsApp, FB & SMS BURE@Tsh2000

 • Instagram Bure
 • Whatsapp na SMS Bure
 • Facebook Bure
Pata mpango huu
 • Mapitio
 • Gharama
 • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
 • Vigezo na masharti

Mapitio

Pinduapindua ni aina maalum ya vifurushi ambapo mteja anapata uniti zinazompa uhuru wa matumizi.Ukiwa na Pindua units unapata uhuru wa kuamua matumizi yake iwe kupiga simu,kuperuzi au kutuma sms kwa sababu matumizi ya uniti unajipangia mwenyewe. Pia PinduaPindua inakupa Facebook, Whatsapp na SMS BURE.

Gharama

Muda wa matumizi Bei Uniti
Saa 24 Tsh 1000 100 Uniti
Tsh 2000 260 Uniti
Siku 7 Tsh 5000 500 Uniti
Tsh 10000 1200 Uniti
Siku 30 Tsh 15000 1800 Uniti
Tsh 20000 2500 Uniti

Mchanganua wa matumizi

Dk 1 (Voda –Voda) = uniti 1.4

Dk 1 (Mitandao yote) = uniti 5

MB 1 = uniti 1

SMS 1 = uniti 1 (hii ni baada ya kumaliza SMS za BURE)

Kujiunga na Uniti za Pindua , Piga *149*01# > Pinduapindua

FAQ

1.Pinduapindua ni nini?

Pinduapindua ni aina maalum ya vifurushi ambapo mteja anapata uniti zinazompa uhuru wa matumizi.Kwa ufupi mteja akiwa na Pindua uniti anakuwa na uhuru wa kupiga simu,kuberuzi na kutuma sms kwa sababu matumizi ya uniti unajipangia mwenyewe.

Mteja atapata pia huduma zingine za ziada buree: meseji na WhasApp

2.Kuna tofauti gani kati ya Pindua uniti na vifurushi vya kawaida?

Aina

Pindua uniti

Vifurushi vya kawaida

Muundo

Uniti

Vifurushi kama MB, SMS au dakika

Matumizi

Hakuna mchanganua wa matumizi,mteja anatumia atakavyo

Kuna mchanganuo wa matumizi kwa maana ya matunmizi ya MB ,SMS na dk

Defined usage quotas i.e. amount of MBs, minutes or SMS has been pre-defined.

Faida Zaidi

Whatsapp,Facebook na SMS bure

Facebook BURE kwa vifurushi vya intaneti

3.Je huduma hii ni wateja gani wanaweza kuipata?

Huduma hii wanaweza kuipata wale wateja wa malipo ya kabla tu.

4.Jinsi ya kujiunga na Pindua units?

Kujiunga na pindua unit, Unapiga *149*01#>PINDUAPINDUA

5.Kuna vifurushi vingapi vya Pinduapindua, na je faida zake za ziada ni zipi na vifurushi vitaonekana vipi katika Icap?

Vifurushi vipo 6 vya Pinduapindua kama ifuatavyo pamoja na faida za ziada atakazopata mteja akijiunga. Kwenye tebo pia inaonyesha jinsi vifurushi vitakavyooneka katika Icap:

6.Mchanganuo wa matumizi ni kama ifuatavyo?

Dakika 1 (Vodacom – Vodacom) = Uniti1.4

Dakika 1 (Mitandao yote) = Uniti 5

MB 1 = Uniti 1

SMS 1 = Uniti 1

7.Je mteja akijiunga na Pinduapindua kipaumbele katika matumizi itakuaje kati ya uniti na zile huduma za ziada za bure?

Kipaumbele katika matumizi itakuwa ni zile huduma za bure za ziada halafu ndo uniti zitatumika.

8.Kwa nini mteja anunue Pindua uniti?

Kuna manufaa mengi sana mteja akiwa na pindua uniti, kwanza kabisa matumuzi ya pindua uniti anajipangia mteja mwenyewe, na pindi uniti zikiisha bado mteja ataendelea kuwasiliana kwa maana ya kufurahia facebook bure,whatsapp bure na sms bure.

9.Inakuwaje pale ambapo Pindua uniti zikaisha kabla ya muda wake?

Wala usihofu,unaruhusiwa kununua tena ili kuongeza uniti zako na vilevile kabla hujanununua uniti zingine utaendelea kufurahia huduma zifutatzo bure kabisa; Whatsapp, SMS na Faceboook

10.Inakuwaje pale muda wa matumizi wa pindua uniti umefika mwisho?

Muda wa matumizi unapofikia mwisho mteja ataingia kwenye gharama za kawaidia

11.Je naweza nunua na kufurahia huduma za bidhaa zingine ukiwa na pindua uniti?

Ndio, unaweza furahia huduma za bidhaa zingine ukiwa na Pindua uniti

12.Je naweza mnunulia Pindua uniti rafiki?

Ndio unaweza unaweza mnunulia Pindua uniti Rafiki

13.Je nikimnunulia Pindua uniti Rafiki,pia anaweza pata pia faida za ziada ?

Ndio umnunuliaopo rafiki pia anapata faidia za ziada.

Vigezo na Masharti

Mteja akijiunga atapata Units tu atakazozitumia kupiga simu, kutuma SMS na kuperuzi katika mtandao.

Kanuni – Vifurushi hivi ni kwa wateja wa malipo ya kabla tu.

Vigezo vingine:

 • Kujua salio mteja atabonyeza *149*60#
 • Vifurushi hivi vinapataikana kupitia Menyu yetu ya Vodacom *149*01#
 • Muda wa matumizi wa kifurushi ukiisha, gharama za kawaida zitatumika
 • d) Vodacom (T) PLC itakuwa na haki ya kufanya marekebisho ya vigezo na masharti au kuondoa bidhaa wakati wowote. Taarifa itatolewa haraka au kwa muda mwafaka pindi marekebisho yakifanyika.
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa