Jiunge na RED
na upate Kipaumbele unapotembelea maduka ya Vodacom nchi nzima na unapo piga huduma kwa wateja, kwa wateja wenye vifurushi vya kujirudia ambavyo havijatatumika hadi kwisha wataendelea kuwa na dakika, data na ujumbe mfupi mwezi ufuatao. Pia utapata bure taarifa yako fupi ya M-Pesa, huduma ya SOKONI na Ujumbe wa tafadhali za waliokupigia.

RED-Mipango

GB1
ya INTANETI
7 Days
Muda wa kifurushi

Intaneti SILVER:30Dk(Mitandao Yote), 1000 SMS, 1GB@Tsh7000

 • 1000 Ujumbe mfupi wa maneno
 • Huduma ya sokoni bure
 • Taarifa fupi ya Mihamala ya M-Pesa bure
Pata mpango huu
GB1
ya INTANETI
7 Days
Muda wa kifurushi

Intaneti SILVER:30Dk(Mitandao Yote), 1000 SMS, 1GB @Tsh7000 - Kujirudia

 • 1000 Ujumbe mfupi wa maneno
 • Huduma ya sokoni bure
 • Taarifa fupi ya Mihamala ya M-Pesa bure
Pata mpango huu
MB 400
ya INTANETI
7 Days
Muda wa kifurushi

GOLD:200Dk(Mitandao Yote), 1000 SMS, 400MB Tsh10000 - Kujirudia

 • 1000 Ujumbe mfupi wa maneno
 • Huduma ya sokoni bure
 • Taarifa fupi ya Mihamala ya M-Pesa bure
Pata mpango huu

Kwa nini RED

Karibu Vodacom RED RLX. Ishi bila wasiwasi na ufurahie huduma bora.

Hebu fikiria maisha ukiwa na kifurushi kimoja kwa matumizi yako kwa mwezi mzima huku ukipata huduma za haraka upigapo huduma kwa wateja na kupewa kipaumbele katika maduka yetu.

Nini Red RLXinahusu nini?

RED RLX inajumisha dakika za kuongea bila wasiwasi kwa mitandao yote kila mwezi, intaneti(MB), SMS na dakika za kupiga simu nje ya nchi ambazo zitafaa mwenendo wa maisha yako

Je unapata nini kwenye Vodacom RED RLX

Faida za kuwa mteja wa Red RLX wateja

 • Kipaumbele ukitembelea duka lolote la Vodacom nchin
 • Kipaumbele ukipiga simu huduma kwa wateja
 • Taarifa fupi za M-Pesa bure – unapojiunga na kifurushi cha RE, utapata nafasi ya kupokea taarifa fupi ya miamala ya siku tatu zilizopita ikiwemo na za sasa
 • Huduma za Sokoni App bure – Hii sehemu unayoweza kununua na kuuza bidhaa mfano gari, pikipiki, vifaa vya umeme, samani na kutafuta kazi
 • Kuarifiwa ukipigiwa simu na kuikosa bure
 • Kubeba dakika,MB na SMS ambazo hazijatumika kwenda mwezi unaofuata kwa wateja wanaochagua huduma ya vifurushi vya kujirudia
Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa

Kwa Vigezo na Masharti bonyeza hapa
Wewe tayari ni mteja wa RED ?
Ingia Yangu Vodacom
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa