Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Dedicated Internet

Huduma hii inakupa upatikanaji wa kipekee na wa uhakika wa intaneti umiliki wa mkondo wa intaneti yaani brodibandi yako mwenyewe bila kugawana. Hii inakuhakikishia kasi kubwa ya mtandao kwa biashara yako. Furahia kasi ya mtandao yaani 1Mbps hadi 1Gbps.

Dedicated MPLS DataVPN

Mtandao wa kibinafsi wa kibinafsi unakupa mfumo wa mawasiliano wa kibinafsi uliohifadhiwa. Mtandao huu unatumia teknolojia za upatikanaji na usambazaji wa taarifa fasta kupitia mifumo ya mawasiliano yenye ufanisi na usalama wa hali ya juu.

Mawasiliano ya Mashine kwa Mashine/Mtandao wa vifaa(IoT)

Vodacom inakuletea huduma ya mfumo wa mawasiliano ya vifaa au mashine kwa mashine(M2M). Inakupa mawasiliano ya uhakika na salama ya mtandao ndani ya kampuni yako kwa kutumia mtandao wa GSM (Global System for Mobile) na mifumo mbalimbali yenye usalama na ufanisi wa hali ya juu.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa