Akaunti za Usambazaji

Epuka utaratibu usio na manufaa wa kugawa kiasi kikubwa cha fedha kwenda kwa kundi kubwa la watu kwa wakati mmoja.Ukiwa na akaunti ya ugawaji ya M-Pesa, biashara yako inaweza kugawa pesa kwa kiasi kikubwa, haraka, hakika na kwa njia ilio salama zaidi.

Lipa mishahara, marupurupu, gawio, mikopo na malipo mengine ya moja kwa moja kwenda kwa wapokeaji.

Kwa maelezo zaidi, tutumie barua pepe kwa m-pesabusiness@vodacom.co.tz

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa