Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Cloud Computing

Cloud Computing ni huduma inayowapa wateja wetu huduma ya miundombinu ya Komputa, yaani Infrastructure as a Service (IaaS) kwa njia ya matumizi ya kompyuta kupitia mtandao wa intaneti.

  • Huduma hii inapunguza gharama na kuchagiza ufanisi kwa wateja wetu.
  • Inawaondolea usumbufu wa kusimamia na kusimamia mifumo ya miundombinu ya komputa

    Inamuondolea mteja gharama kubwa za awali (capex), huduma hii mteja hulipia malipo ya mwezi na anapata uwezo wa kubadilisha mahitaji yake wakati wowote(kuongeza na kupunguza miundombinu ya komputa kutokana na uhitaji wa wakati huo).

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa