Karibu kwenye Fixed

Ufumbuzi wetu unalenga kukidhi mahitaji makubwa ya mawasiliano ya makampuni madogo na ya kati. Kupitia kuwekeza huduma moja kwa moja kwenye teknolojia ya mtandao, ujuzi wa kitaaluma, vifurushi na mchanganuo wa bei, huduma zetu za ready biashara zinahudumia makampuni ya aina zote madogo hadi ya kati

Kuungaanisha Nyumbani

  • • Inafaa kwaajili ya matumizi ya makazi, ofisi ndogo na majumbani
  • • Ufumbuzi wa mtandao wa broadband hutumiwa kwa watumiaji wa nyumbani na watumiaji wa Ofisi ndogo ambao ni rahisi kufunga na kufurahia huduma

Kuunganisha Ofisi

  • • Inafaa kwaajili ya matumizi ya biashara za kati, serikali, makampuni na matawi mengine ya taasisi mbalimbali
  • • Intaneti na Itifaki (protokol) ya Intaneti yaani "IP" na mitandao ya kibinafsi yaani "VPN" kwa soko la biashara ndogo na la kati (SME) ambalo litasimamiwa, ikiwa ni pamoja na mkataba wa kiwango cha kutoa huduma (SLA)

Business Connect

Inafaa kwaajili ya matumizi ya mashirika makubwa, mikutano na mahitaji ya Global MPLS

  • • Makampuni yenye desturi za fumbuzi mbalimbali
  • • Huduma za menejdi intaneti yaani "managed intaneti" na Intaneti na Itifaki (protokol) ya Intaneti yaani "IP" na mitandao ya kibinafsi yaani "VPN" zenye mkataba wa kiwango cha hali ya juu kutoa huduma yaani "SLA" ambayo inajumuisha upatikanaji wa mtandao wakati wa dharura
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa