Safiri angani kwa M-Pesa

Safiri angani kwa M-Pesa

Namna ya kulipa tiketi yako ya ndege kwa M-Pesa
*Hakikisha una kiasi cha kutosha cha pesa kwenye akaunti yako ya M-Pesa na umepata namba ya kumbukumbu ya ombi la tiketi.

*Utapokea uthibitisho wa SMS papo papo. Pia utapokea maelzo ya malipo na kupokea tiketi ya kielektroniki kwenye barua pepe uliochagua.

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa