Anza sasa na M-Pesa

Nanma ya kuanza na M-Pesa

Tembelea wakala yoyote wa M-Pesa na upate usajili
Utapokea SMS kuthibitisha usajili wako

Sasa unaweza

  • Kutuma na kupokea pesa
  • Kupokea pesa taslim kupitia Western Union
  • Kulipa ankara zako
  • Kununua muda wa maongezi

Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa