Vodacom, kwa kushirikiana na Amana Bank, tumewaletea huduma mpya ya HALAL PESA. Halal Pesa ni huduma ya kifedha yenye lengo la kuwawezesha wateja wa M-Pesa kuweka akiba kwa njia salama na kuchangia kwenye shughuli na miradi mbalimbali ya kiimani na kijamii huku wakipata faida Halal ambazo zinaendana na misingi ya sharia. Halal Pesa ni huduma ambayo itaongeza wigo wa huduma za kifedha na itachangia kuongeza utamaduni wa kuweka akiba kwa wateja wanaofuata misingi ya Sharia.

Halal Pesa

 • Halal Pesa
 • Jinsi ya Kujiunga na Halal Pesa
 • Kuhifadhi Halal Pesa
 • Jinsi ya kuchangia Halal Pesa

Halal Pesa

Halal Pesa
Vodacom kwa kushirikiana na Amana Bank, tumewaletea huduma mpya ya HALAL PESA. Halal Pesa ni huduma ya kifedha yenye lengo la kuwawezesha wateja wa M-Pesa kuweka akiba kwa njia salama na kuchangia kwenye shughuli na miradi mbalimbali ya kiimani na kijamii huku wakipata faida Halal ambazo zinaendana na misingi ya sharia. Halal Pesa ni huduma ambayo itaongeza wigo wa huduma za kifedha na itachangia kuongeza utamaduni wa kuweka akiba kwa wateja wanaofuata misingi ya Sharia.


Jinsi ya Kujiunga na Halal Pesa

Jinsi ya Kujiunga na Halal Pesa

sajili into Halal Pesa today and achieve your group goals at your fingertips. Joining Halal Pesa and registering your group is simple, Just PIGA *150*00#, Chagua number 6 Financial services. Then follow simple steps to create a group according to your group needs as shown below.

Jinsi ya Kujiunga na Halal Pesa

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua uanzishaji

Kuhifadhi Halal Pesa

Kuhifadhi Halal Pesa

1. AKAUNTI ZA AKIBA

Akiba Binafsi

  Akiba Binafsi - Hii ni bidhaa isiyo na riba yenye lengo ya kuwezesha wateja kuweka pesa zao kwa usalama na kurudishiwa gawio halal kutokana na amana zao ikizingatia misingi ya Sharia.


  Jinsi ya kuweka akiba binafsi

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Kuweka
 5. Ingiza kiasi
 6. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

  Jinsi ya Kutoa akaunti ya binafsi

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua Huduma za kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua kutoa
 5. Ingiza kiasi kisha Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Akaunti ya akiba ya Hajji

Akaunti ya akiba ya Hajji Hii ni bidhaa maalum yenye malengo ya kukuza nguzo ya tano ya Uislam na ni ya kwanza ya aina yake sokoni. Akaunti ya Akiba ya Hajj ni mahsusi kwa wateja wenye nia ya kuweka akiba kwa lengo la kwenda hija.
Jinsi ya Kusajili akaunti ya Hajji

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Sajili Akakunti
 5. Chagua akiba akaunti
 6. Chagua Hajji
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya kuweka akiba kwenye akaunti ya Hajji

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua akiba akaunti
 5. Chagua Hajji akaunti
 6. Weka kiasi
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya Kutoa pesa kutoka kwenye akaunti ya Hajji

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Kutoa
 5. Chagua Hajji akaunti
 6. Weka kiasi
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Akaunti ya Nuru

Hii ni akaunti ya kipekee inayowawezesha wazazi kuweka akiba za watoto wao wenye umri wa chini ya miaka 18. Akaunti ya Nuru inawawezesha kupata faida Halal kutokana na amana walizoweka.
Jinsi ya Kusajili akaunti ya Nuru

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua sajili akaunti
 5. Chagua akiba akaunti
 6. Chagua Nuru
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya kuweka akiba kwenye Nuru akaunti

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua akiba
 5. Chagua Nuru akaunti
 6. Chagua kiasi cha pesa
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya kutoa akiba kwenye akaunti ya Nuru

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Kutoa
 5. Chagua Nuru akaunti
 6. Chagua kiasi cha pesa
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Amana za Kudumu

Hii ni maalum kwa wateja ambao wana malengo ya kuweka akiba kwa muda mrefu kwa lengo la kupata faida hahal na za kiwango cha juu ili kuweza kukidhi mahitaji yao ya kifedha. Amana za muda mrefu zinaweza kuwa za vipindi vya miezi 3, 6 au 12.
Jinsi ya Kusajili akaunti ya amana za kudumu

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua sajili akaunti
 5. Chagua akiba akaunti
 6. Chagua amana ya kudumu

Jinsi ya kuweka akiba kwenye akaunti ya amana kudumu

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua akiba
 5. Chagua amana ya kudumu
 6. Weka kiasi
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya Kutoa kwenye akaunti ya amana za kudumu

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Kutoa
 5. Chagua akiba akaunti
 6. Chagua amana ya kudumu
 7. Weka kiasi
 8. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Michango ya Halal

Michango ya Halal

Michango ya Zakat

Hii ni huduma maalumu ya kusaidia jamii ya Waislamu kufikia makundi mbalimbali yenye uhitaji kupitia michango ya zakat kwa namna mahususi. Huduma hii inawezesha waislamu kukusanya fedha za Zakat kupitia Halal Pesa na kuzigawa kwa wapokeaji waliopangwa kama maagizo ya Sharia chini ya uongozi mahususi wa Bodi ya Usimamizi wa Sharia.
Jinsi ya kutuma mchango

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua kuchangia
 5. Chagua Zakat
 6. Weka kiasi
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Michango ya Misikiti

Hii huduma inatoa fursa kwa wateja kuchangia shughuli za ujenzi wa misikiti mbalimbali kupitia akaunti za M-Pesa.

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua Changia
 5. Chagua Misikiti
 6. Weka kiasi
 7. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa

Jinsi ya kuangalia salio la michango yako

 1. PIGA *150*00#
 2. Chagua Huduma za Kifedha
 3. Chagua Halal Pesa
 4. Chagua akaunti yangu
 5. Chagua Halal
 6. Weka namba yako ya siri ya M-Pesa


Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa