Kuhamisha Pesa Kimataifa

EcoCash – Burundi (Tuma Pesa)

Vodacom M-Pesa Kutuma Pesa EcoCash Burundi

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3" Tuma Pesa Kimataifa
  • 4. Chagua "3" EcoCash- Burundi.
  • 5. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 6. Ingiza namba ya mpokeaji (Anza na 257…)
  • 7. Chagua sababu ya kutuma (Familia, Biashara, ada ya shule)
  • 8. Kisha Weka kiasi cha kutuma.
  • 9. Ingiza namba ya siri kuthibitisha muamala.

Angalia viwango vya kubadilisha fedha

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3"Tuma Pesa Kimataifa
  • 4. Chagua "3" EcoCash- Burundi.
  • 5. Chagua "2" Angalia viwango vya kubadilisha fedha.
  • 6. Kisha Weka kiasi cha kutuma faranga ya Burundi:


Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa