Kuhamisha Pesa Kimataifa

Juba Express

Kupitia ushirikiano na Juba Express, unaweza kupokea pesa kutoka kwa ndugu na jamaa waliopo Australia, Uingereza, marekani, Canada, Sweden, Falme za kiarabu (U.A.E), Kenya, Uganda, Somalia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini. Juba Express inatoa huduma salama na rahisi za kutuma pesa ambapo pesa huingia moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa na unaweza kuitumia papohapo kufanya malipo, kutuma n.k. kwa maelezo zaidi ya jinsi unavoweza kupokea pesa kimataifa kupitia Juba Express tembelea www.jubaexpress.comHakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa