Kuhamisha Pesa Kimataifa

MTN Uganda and Zambia (Tuma na Pokea)

Vodacom M-Pesa kutuma pesa MTN Uganda

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3" Tuma Pesa kimataifa
  • 4. Chagua "2" MTN Uganda
  • 5. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 6. Ingiza namba ya mpokeaji (Anza na 256…):
  • 7. Chagua sababu ya kutuma (Familia, Biashara, Ada ya shule)
  • 8. Weka kiasi cha kutuma
  • 9. Ingiza namba ya siri kuthibitisha.
  Angalia viwango vya kubadilisha fedha

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3" Tuma Pesa kimataifa
  • 4. Chagua "2" MTN Uganda
  • 5. Chagua "2" Angalia viwango vya kubadilisha fedha
  • 6. Weka kiasi cha kutuma shilingi za Uganda
  • 7. Chagua "1" kuanzisha muamala au "2" kurudi nyuma

MTN Uganda kutuma pesa Vodacom M-Pesa

  • 1. Piga *165#
  • 2. chagua Tuma Pesa
  • 3. Chagua East Africa
  • 4. Chagua Tanzania
  • 5. Chagua Vodacom Tanzania ‘Tuma Pesa’
  • 6. Ingiza namba ya mpokeaji (Anza na 255…)
  • 7. Weka kiasi cha kutuma (UGX)
  • 9. Ingiza namba ya siri kuthibitisha muamala.
  Angalia viwango vya kubadilisha fedha

  • 1. Piga *165#
  • 2. chagua Tuma Pesa
  • 3. Chagua East Africa
  • 4. Chagua Tanzania
  • 5. Chagua Vodacom Tanzania
  • 6. Chagua ‘Angalia viwango vya kubadilisha fedha’
  • 7. Weka kiasi cha kutuma. (Mf. 10,000sh)
  • 8. Ingiza namba ya siri

MTN Zambia kutuma pesa Vodacom M-Pesa

  • 1. Piga *303#
  • 2. chagua Tuma Pesa
  • 3. Chagua Tuma Pesa Kimataifa
  • 4. Chagua Tanzania.
  • 5. Ingiza namba ya mpokeaji (Anza na 255…)
  • 6. Kisha weka kiasi cha kutuma.
  • 7. Weka namba yako ya SIRI kuthibitisha muamala


Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa