Kuhamisha Pesa Kimataifa

Safaricom Kenya (Tuma na Kupokea)

Vodacom M-Pesa kutuma pesa Safaricom

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3" Tuma Pesa Kimataifa
  • 4. Chagua "1" M-Pesa Kenya
  • 5. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 6. Ingiza namba ya Mpokeaji (Anza na 254…):
  • 7. Weka kiasi cha kutuma shilimgi ya Tanzania:
  • 8. Chagua sababu ya kutuma (Familia, Biashara, Ada ya shule)
  • 9. Weka namba ya siri kisha thibitisha.
Angalia viwango vya kubadilisha fedha

  • 1. Piga *150*00#
  • 2. Chagua "1" Tuma Pesa
  • 3. Chagua "3" Tuma Pesa Kimataifa
  • 4. Chagua "1" M-Pesa Kenya
  • 5. Chagua "2" Angalia viwango vya kubadilisha fedha
  • 6. Weka kiasi cha kutuma shilingi za Kenya
  • 7. Chagua "1" kuanzisha muamala au "2" kurudi nyuma

Safaricom kutuma pesa Vodacom M-Pesa

  • 1. Nenda kwenye menyu ya Safaricom M-Pesa
  • 2. Chagua LIPA NA M-PESA
  • 3. Chagua LIPA BILI na weka Pay bill namba 255255
  • 4. Weka namba ya simu ya Vodacom katika mfumo wa 255 7XX XXX XXX
  • 5. Weka kiasi unachotuma kwa Shilingi za Kenya
  • 6. Weka PIN yako ya M-Pesa kukamilisha muamala

M-Pesa ROAMING CASH-OUT.

Huu ni muendelezo wa huduma iliyopo ya Kuhamisha Pesa Kimataifa (IMT) kati ya Tanzania na Kenya. Vodacom kwa kushirikiana na Safaricom inawaletea Roaming Cash out, huduma ya kipekee inayokuwezesha mteja wa safaricom kutoa pesa kwa mawakala wa Vodacom M-Pesa uwapo Tanzania kutoka kwenye akaunti yako ya Safaricom M-Pesa. Mteja wa Safaricom unatakiwa kujiunga na huduma ya Roaming Cash out kupitia menyu hapo chini kisha kufuata maelezo ili kukamilisha muamala wa kutoa pesa.

Jinsi ya Kujiunga na huduma hii:
Kwa wateja wapya:

  • 1. Piga *840#.
  • 2. Weka anuani yako (Physical Address). Mf. Safaricom House
  • 3. Kubali Vigezo na Masharti (Terms and Conditions)
  • 4. Weka PIN ya M-Pesa Kujiunga
  • 5. Utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha kuwa umefanikiwa kujiunga na huduma hii.
Jinsi ya Kutoa pesa kwa mawakala wa M-Pesa Tanzania

  • 1. Piga *840#.
  • 2. Chagua “Roaming Cash Out”
  • 3. Chagua “Tanzania”
  • 4. Weka Agent Number (Namba ya Wakala)
  • 5. Weka Amount (Kiasi) (Kwa Shilingi ya Kenya). M-Pesa itakukokotolea kwenda shilingi ya Kitanzania.
  • 6. Chagua ‘’Accept’’ kuthibitisha muamala husika.
  • 7. Weka PIN ya M-Pesa kukamilisha muamala.
  • 8. Utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha muamala umekamilika.


Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa