Kuhamisha Pesa Kimataifa

WorldRemit

Kwa kutambua mahitaji ya wateja wetu kwenye upokeaji wa fedha kutoka nchi mbalimbali duniani, tumeleta suluhisho kupitia M-Pesa ambapo sasa unaweza kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa kutoka nchi zaidi ya 50 ulimwenguni kupitia WorldRemit. Ushirikiano kati ya Vodacom M-Pesa na WorldRemit unakuwezesha wewe mteja wa M-Pesa kupokea pesa papohapo kwa urasahisi, usalama na haraka zaidi kutoka kwa Ndugu, Jamaa na marafiki waliopo Uingereza, Marekani, Sweden, Canada, Afrika Kusini, Japan, Australia, Denmark, Ujerumani, Norway, Ubelgiji nk. Kiasi utakacho kipokea utaweza kukitumia kufanya miamala yote ya M-Pesa kama kutuma pesa, kutoa pesa, Kulipa bili n.k. Kwa taarifa zaidi kuhusu kupokea pesa kimataifa kupitia WorldRemit tembelea https://www.worldremit.com/en/tanzania/mobile-moneyHakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa