INTANETI OVERVIEW

Kwa nini uchague Vodacom kwa intaneti yako?

Mtandao bora
kwa Smatifoni yako

Mtandao wa
4G yenye kasi zaidi

Gharama Nafuu
ya intaneti kwa simu yako

Ni Rahisi na haraka
kwa kununua intaneti

Gharama za Intaneti

  • Vifurushi vya Video
  • Intaneti SUPA
  • Jimwage Data

Vifurushi vya Video

DSTV bando

Bei(Tsh) DSTV bado(MB tu) Muda
1,000 2 GB Masaa mawili
2,000 1.5GB Siku 1
25,000 10 GB Siku 30

Bonyeza kitufe cha "Nunua Kifurushi" Kujiunga na huduma hii

Au Piga *149*01# chagua Intaneti

Intaneti SUPA

Muda wa Matumizi Bei Kifurushi cha intaneti
Bonge la bando
12:00am- 4:59pm
Tsh 1,000 1,024 MB
Tsh 5,00 300 MB
24 Hours Tsh 500 80 MB
Tsh 1000 Whatsapp & Instagram & twitter
Tsh 1000 300 MB
Tsh 2500 2 GB
48 Hours Tsh 5000 4 GB
7 Days Tsh 3000 Whatsapp & Instagram & twitter
Tsh 3000 1GB 1GB
Tsh 5000 GB 1+ (GB 2.5 BONASI USIKU)
Tsh 10000 3GB
Tsh 15000 5 GB
Tsh 20000 20 GB
30 Days Tsh 8000 Whatsapp & Instagram & twitter
Tsh 10000 1GB
Tsh 20000 5 GB
Tsh 35000 10 GB
Tsh 50000 20 GB

Vigezo na Masharti

Kwa bando zenye whatsapp, Kupiga simu kwa whatsapp itachajiwa kwenye bando la Intaneti la kawaida au malipo kadri unavyotumia kwa mteja aliyeruhusu

Gharama za Malipo kabla ya kadri unavyotumia ni Tsh 71 kwa MB.

Malipo kadri unavyotumia yatatumika iwapo mteja ameruhusu gharama hizi pindi bando linapoisha.

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa matumizi kwa Malipo ya kabla ya kadri unavyotumia ni kwa KB10.

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa Intaneti ya Malipo Kabla ya bando ni kwa KB10.

Mteja anaweza kuangalia salio BURE kwa kupiga *149*60#

* Gharama hizi ni bila kodi.

Jimwage Data

Validity Price MBs
24 Hours Tsh 500 100 MB
Tsh 1000 400 MB
Tsh 2000 2.5 GB
3 Days Tsh 2500 1.2GB
7 Days Tsh 3000 2GB
Tsh 5000 4 GB
Tsh 10000 10 GB
Tsh 15000 17 GB
30 Days Tsh 10000 7GB
Tsh 20000 15 GB
Tsh 35000 38 GB
Tsh 50000 60 GB

Vigezo na Masharti

Spidi ya Jimwage bando ni 5Mbps.

Gharama za Malipo kabla ya kadri unavyotumia ni Tsh 71 kwa MB.

Malipo kadri unavyotumia yatatumika iwapo mteja ameruhusu gharama hizi pindi bando linapoisha.

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa matumizi kwa Malipo ya kabla ya kadri unavyotumia ni kwa KB10.

Kiwango cha chini cha malipo kwa uniti kwa Intaneti ya Malipo Kabla ya bando ni kwa KB10.

Mteja anaweza kuangalia salio BURE kwa kupiga *149*60#

* Gharama hizi ni bila kodi.

Ofa Maalumu

30 Siku
Itadumu kwa
500 MB
Intaneti

Intaneti Vifurushi Tsh 5000 / 30 Siku

Unaweza ukanunua vifurushi vingine uvipendavyo kwa kubonyeza Vifurushi zaidi

Namna ya Kuangalia Salio

Aplikesheni ya Vodacom : Pakua na ingiza Aplikesheni kwenye simu yako na kisha fungua kuona ubao
Tovuti ya Vodacom: Ingia kwenye akaunti yako na kasha angalia ubao wa maelezo
USSD: Piga *149*60#
SMS: Tuma SMS yenye neno"SALIODATA" kwenda 15300

NUNUA VIFURUSHI ZAIDI

Mtandao wa Internet wa Vodacom – Wenye kasi zaidi na kuenea nchini kote Tanzania

Ni mtandao wa kuaminika, wenye gharama nafuu na Intaneti ya haraka zaidi ya Tanzania ukiwa na laini yako ya Vodacom.

  • Intaneti ya haraka kwa simu za mkononi yaani smartphone, tablet na vifaa vingine vyote vyenye uwezo wa kutumia Intaneti.
  • Urahisi wa kuangalia videos kupitia mitandaoni, kuwasiliana kupitia video kwenye mazingira ya kazi, kucheza gemu mbalimbali mtandaoni na kudaonlodi picha mbalimbali.
  • Vifurushi vyenye gharama ya chini zaidi vinavyo kidhi mahitaji yako huku ukifurahia intaneti ya Vodacom.
  • Intaneti iliyoenea nchini kwote Tanzania.
  • Urahisi wa kuongea na kutuma habari kupitia mitandao mbalimbali mfano email, Facebook, Whatsapp, Instagram, Snapchat n.k kuhakikisha unafurahia ulimwengu wa kidijitali
Pakua My Vodacom App
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa