Ya Kwako2 Maelezo

Habari , karibu!

“Tunajua wewe ni tofauti wa wengine, na mahitaji yako pia ni ya kipekee.

Kuonesha ni jinsi gani tunakuelewa na tumekupata, tunakuletea ofa kwa ajili yako "YaKwakoTu"

Tunakupa uwezo wa kufurahia bando zinazoendana na matumizi yako ya kila siku. Pata bando kwa gharama nafuu ambazo zinakidhi mahitaji yako yote, hii ni kwa ajili yako wewe tu!

Ni mzuka wa ajabu!!

Kupata bando kwa ajili yako PIGA

*149*03#

Unaweza kupitia orodha kuu ya bidhaa na huduma zetu (*149*01#) kisha chagua "Ya Kwako 2"

Ofa ya Vifurushi vya muda wa maongezi, Intaneti na SMS za kumwaga inayofaa kwa mahitaji yako binafsi.

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa