KUHUSU KASI INTANETI

KASI Intaneti ni huduma mpya kutoka Vodacom Plc inayokupa uwezo wa kununua bando zenye data isiyokata. Ukiwa na intaneti isiyokata unaweza; kutuma barua pepe, kufanya biashara, kuangalia video na kuwafurahisha wateja wako. Isitoshe hata ukitumia GB zako zote, bado unaweza kuendelea kuwa hewani. *Vigezo na Masharti kuzingatiwa*

Kwa nini Uchague Kasi Intaneti

Furahia intaneti yenye kasi

Waunganishe watu 25

Kuwa hewani wakati wowote, mahali popote

 • Vifurushi vya Kasi Intaneti
 • Jinsi ya Kujisajili
 • Jinsi ya kununua Bando
 • Kwa Maelezo Zaidi

Checka Voda-Voda

Vifurushi vilivyopo:

Bei(Tsh) Data Muda
50000 30 30 Days
85000 60 30 Days
120000 100 30 Days

How to Register

Kujiunga na Kasi Intaneti, chagua njia moja kati ya:

 • - Kuongea na Mwakilishi au Meneja wa Mauzo
 • - Tuma barua pepe kwenda vodacombiashara@vodacom.co.tz
 • - Tembelea Vodacom Shop iliyopo karibu nawe;

Dar es Salaam

 • 1.Oysterbay Vodashop
 • 2.Kariakoo Vodashop
 • 3.Sea Cliff Vodashop
 • 4.Paloma Park Vodashop
 • 5.Ubungo Vodashop
 • 6.Millenium Towers Vodashop
 • 7.Mlimani City Vodashop
 • 8.Samora Vodashop

Mwanza

 • 1.PPF Plaza Vodashop
 • 2.Nyamagana Vodashop

Arusha

 • 1.Sokoine Vodashop

Mbeya

 • 1.Uhindi-Mbeya Mjini Vodashop

Central

 • 1.Nyerere Square-Vodashop

How to renew

Kuanzisha bando yako baada ya siku 30 ni rahisi sana!

Piga *149*01# kisha chagua KASI Internet.

Kwa Maelezo Zaidi

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali

-WASILIANA NASI

-SOMA FAQs

Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa