Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

MOBILE VOICE & DATA

Vodacom Business inahakikisha kwamba Biashara yako imeunganishwa wakati wote na mtandao wa 4G, wenye kasi zaidi kwa mawasiliano ya kuaminika.

Furahia huduma yetu ya malipo ya baada, kwa gharama nafuu kupiga simu ndani na nje ya nchi, na pia kuzuru duniani kote kwa bei ya punguzo.

Faida:

  • Simu na vifaa vya mawasiliano vyenye ofa maalumu.
  • Kupiga simu ndani ya nchi kwa gharama nafuu.
  • Kupiga simu nje ya nchi na kuzuru mataifa mengine.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa