Karibu kwenye Wekesha

Wekesha kidogo kidogo upate simu uipendayo.

Pata Smartphone unayoipenda kwa kulipa kidogo kidogo kupitia M-Pesa. Tembelea duka lolote la Vodacomkwa maelezo Zaidi.

Piga *149*96# kuona simu zilizopo

Malipo ndani ya miezi 3

VIGEZO NA MASHARTI
  1. Ofa hii ni hadi kuisha kwa bidhaa.
  2. Ofa zinaweza kubadilika muda wowote bila taarifa.
  3. Rangi za simu kwenye matangazo zinaweza kuwa tofauti na zilizopo madukani.
  4. Bei zote zimejumuishwa na VAT.
  5. Bei zinaweza kubadilika kutokana na viwango vya mabadiliko ya fedha za kigeni.
  6. kosa lolote la uchapishaji au vinginevyo katika matangazo ya ofa hii,Vodacom haitawajlbika
Simu zilizopo
Vodacom Smart Bomba
Vodacom Tab7 Gimli
Techno N5 LTE
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa