Kwa nini uchague huduma ya Vodacom Magic Voice

Wafurahishe na washangaze uwapigiao; pendezesha siku yao kwa kichekesho au mzaha kwa kutumia Magic Voice

Wafurahishe uwapigiao kwa sauti ya aina au vitu vingine

Ucheshi ni kitulizo cha moyo. Mfanye awe mtu maalum kwa kumchekesha na Magic Voice

Vodacom Magic Voice inakuliwaza wakati una changamoto

Magic Voice ni nini?

Ni huduma inayokuweza kubadili sauti, mfano sauti ya kuchekesha au sauti nyinginezo wakati unapopiga simu kwa rafiki ukitumia laini ya Vodacom. Unaweza kubadili sauti ukiwa kwenye simu kusikika kama mwanaume, mwanamke, mtoto, father Christmas, sauti za nyuma za sehemu mbalimbali kama uko uwanja wa ndege, sokoni n.k. Ili kutumia huduma hii, hakikisha namba yako imesajiliwa kwa alama ya vidole.


Kujiunga na huduma hii piga * ikifuatiwa na namba yako ya Vodacom
Mfano: *075XXXXXXX
Gharama ni Tsh.100 kwa siku pamoja na Kodi

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Vigezo na Masharti ya Huduma ya Magic Voice

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa