Sasa unaweza kufanya malipo ya Serikali kwa urahisi na usalama kupitia M-Pesa.

  • Jinsi Ya Kufanya Malipo
  • Muhimu Kufahamu
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Jinsi Ya Kufanya Malipo

Jinsi Ya Kufanya Malipo
Kufanya malipo ya Serikali na M-Pesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo;

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua Lipa kwa M-Pesa
  3. Chagua Malipo ya serikali
  4. Chagua Namba ya Malipo
  5. weka kiasi
  6. weka namba ya siri
  7. Bonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha

Muhimu Kufahamu

Muhimu Kufahamu

Hakikisha kwamba umepata namba ya malipo kutoka ofisi husika kabla ya kufanya malipo kupitia M-pesa.

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

1. Je ni jinsi gani ya kupata namba ya malipo?

Namba ya malipo inapatikana kutoka Ofisi ya serikali ambapo malipo yanatakiwa kufanyika (Kwa mfano TRA, utapata namba ya malipo kutoka Ofisi za TRA).

2. Je ni jinsi gani ya kufanya malipo?

Kama ilivyoelezewa hapo juu.

3. Ni sehemu gani ya kupeleka risiti ya malipo?

Risiti ya malipo inawasilishwa katika sehemu ya kupata huduma ya malipo uliofanya – Kutoka ofisi uliopata namba ya malipo.

4. Malipo yanaweza kufanyika wakati gani?

Ni mda wowote, muhimu uwe na namba ya malipo.

5. Je inawezekana kufanya malipo mengine ya serikali?

Ndio, Inawezekana.

6.Je Ntachajiwa kiasi gani kutumia huduma hii?

Utachajiwa kiasi kidogo sana kukamilisha muamala wako wa Malipo ya Serikali kama inavyoonekana apo chini.
Viwango vya pesa Gharama za Huduma
100-999 10
1000-1999 20
2000-2999 40
3000-3999 60
4000-4900 80
5000-9999 100
10000-19999 200
20000-29999 400
30000-39999 600
40000-49999 800
50000-99999 1,000
100000-199999 2000
200000-299999 4000
300000-399999 5000
400000-499999 6000
500000-3000000 7,000
>3000000 7000

Vigezo Na Masharti

Vigezo Na Masharti
xxxxxxxxxxxxxxxxxx

Important Things To Note:

1.Who is entitled to using M-Pesa Mastercard?

All Vodacom customers that are registered on M-Pesa can use M-Pesa Mastercard.

2.Are there any charges that apply when using M-Pesa Mastercard?

There are no charges when you prefund your M-Pesa Mastercard account or send money from your M-Pesa Mastercard account to your main M-Pesa account. You will only be charged when you make online purchases.

3.Is there a limit of funds I should have in my card?

The maximum amount to be put in your card depends on your M-Pesa account tier limit. Example 3 million for customers who have completed their registration.

4. How will I get my funds back in case I do not receive goods I have purchased by M-Pesa Mastercard?

If you do not get the goods you have purchased by your card, please call Vodacom’s customer support for further assistance.

5. For more information, Terms and conditions of this service visit our website

www.vodacom.co.tz/m-pesa or call customer support by dialing 100 for FREE.
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa