International Money Transfer

Mama Money

Vodacom M-Pesa kwa kushirikiana na Mama Money inakuwezesha kupokea pesa PAPO HAPO kutoka Afrika Kusini. Sasa unaweza kuwaambia ndugu,jamaa na marafiki walioko Afrika kusini kutuma pesa Tanzania kupitia Mama Money ni rahisi, salama na pesa zitakufikia moja kwa moja kwenye akaunti yako ya M-Pesa. Huduma hii ni nafuu sana kwani mtumaji atachajiwa asilimia 5 tu ya atakacho kutumia na zaidi utapokea pesa zako papo hapo zikiwa katika shilingi ya Tanzania bila wewe kukatwa chochote.

Kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi yakutuma pesa kutoka Mama Money – South Africa tembelea Mama MoneyHakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa