• Maelezo
  • Gharama
  • Jinsi ya kushiriki
  • Vigezo na Masharti

Maelezo

Tusua Mapene ni promosheni mpya ya bahati nasibu kwa wateja wa Vodacom pekee. Mteja yoyote anapata nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa.

Kuna Zawadi za papo hapo ambazo ni shilingi Milioni 100 kwa mshindi mmoja na Milioni 20 kwa washindi watano

Kila siku Zawadi za kuanzia Laki 5 hadi Milioni 15. Na kwa mwezi ni shilingi Milioni 15.

Kwenye droo kubwa ya mwisho wa promosheni mshindi atajinyakulia milioni 150.

Gharama

 

Njia ya kushiriki

Gharama (Tsh)

Kete kwa siku

Gharama ya kete

Kifurushi cha Mwezi cha MPESA

6000

30

200

Kifurushi cha Wiki cha MPESA

1800

7

257

Kifurushi cha Siku cha MPESA

300

1

300

Kifurushi Kikuu cha MPESA

6000

Gharama/200

200

Kujiunga kwa Siku

300

1

300

SMS zaidi

300

1

300

Jinsi ya kushiriki

JINSI YA KUSHIRIKI

Ili kushiriki, mteja atatakiwa kutuma ujumbe mfupi(SMS) kwenda 15544 and ajiunge kwa Tsh 300 kwa siku au kununua kete kwa M-Pesa aidha za siku, wiki au mwezi au vifurushi zaidi atakavyo, kifurushi cha siku kwa Tsh 300 - kete 1, au kifurushi cha wiki kwa Tsh 1,800 – kete 7, au kifurushi cha mwezi Tsh 6000 – kete 30, au Tsh 200 kwa kete kwa vifurushi vya gharama zaidi ya Tsh 6000

 

Tofauti na promosheni zingine, TUSUA MAPENE inakupa  wigo mpana wa njia za kushiriki na zote zikiwapa wateja wetu nafasi sawa za ushindi. Nazo ni:

 

 

  • SMS (15544)
  • Menu ya USSD  (*149*01#)
  • MPESA (Akaunti binafsi  au kupitia kwa Wakala)

 

 

 

Ushiriki wa bure siku ya kwanza:

Ili kuingia kwenye promosheni kama mshiriki wa bure “wa zawadi ya kwanza ya papo hapo”, mshiriki anaweza kununua bando lolote kati ya bando zilizopo na bando maalumu zinazotoa nafasi ya ushiriki/kuingia kwenye droo.

Baada ya kujiunga na bando hilo na kila SMS inayotumwa baada ya hapo, mshiriki atapokea SMS mbili kama majibu kwa kila SMS atakayotuma kwenda kwenye namba ya husika

 Baada ya mshiriki kutimiza mahitaji yote kwenye vifungu vya 3 na 4.1 hapo juu, ataingizwa moja kwa moja kwenye droo ya bahati nasibu kama ifuatavyo;

Washiriki wa promosheni hii watajipatia kete/pointi 1 kwa kujiunga kwenye promosheni. Kila kete/pointi ni sawa na kuingia kwenye droo moja.

Vigezo na Masharti

Vigezo na Masharti ya Shindano la TUSUA MAPENE.

Kumbuka:

A.      Vigezo na masharti yanayofuata yana dhana ya kuweka au kuondoa ukomo wa wajibu, haki au majukumu ya kisheria ambayo kampuni ya Vodacom (“Vodacom”) ambayo hapa inajulikana kama (“Promota”) itakua nayo dhidi yako na watu wengine. Vigezo na masharti haya vinaweza kupunguza na kuondoa haki na stahiki zako dhidi ya promota na kuweka wajibu na majukumu ya kisheria juu yako. Sambabmba na hayo, vigezo na masharti haya vinaweza kukupa jukumu la kulipa gharama zaidi na promota anaweza kuwa na malalamiko na haki dhidi yako.

 

B.      Kwakuwa vigezo na masharti au bidhaa au huduma zinazotolewa vinasimamiwa na sheria inayomlinda mtumiaji (“Sheria inayomlinda mtumiaji”), hivyo basi vigezo na masharti haya havitakinzana na sheria hiyo inayolenga kumlinda mtumiaji.

 

C.      Tafadhali soma vigezo na masharti haya kwa umakini. Ushiriki katika promosheni hii utaashiria kukubaliana kwako na vigezo na masharti haya.Kama haukubaliani na vigezo na masharti haya, tafadhali usishiriki katika promosheni hii. Ni wajibu wako kupitia vigezo na masharti haya mara kwa mara.

1. Promosheni:

Kampeni ya Vodacom ya kuhamasisha ushiriki wa shindano la (“Promosheni "). Promosheni hii imeandaliwa na VODACOM akijulikana kama ("Promota"). Promosheni inawapa wateja nafasi ya kushiriki kweye shindano ambalo wateja wanaweza kushinda zawadi kama zinavyoelezewa kwenye vigezo na masharti haya.

2. Muda wa Promosheni

Promosheni itaanza saa 00:01 usiku wa tarehe 6/11/2017 na itaendelea mpaka saa 05:59 usiku wa tarehe 6/1/2018. (“Muda wa promosheni”). Vodacom ina haki ya kuongeza muda wa promosheni na kutangaza zawadi.

3. Mshiriki wa shindano:

3.1 Ili kushiriki, mshiriki atatakiwa kuwa:

3.1.1 Mteja yoyote wa Vodacom (PayAsYouGo, TopUp au Contract)

3.1.2 Kuwa mtu wa kawaida; na

3.1.3 Kuwa na umri wa miaka 18 (kumi na nane) au Zaidi.

3.2 Ushiriki katika shindano hili haujumuishi wafanyakazi, wakurugenzi, wanachama, washirika, washauri na mawakala wa, au mtu mwingine ambaye, moja kwa moja au pasipo moja kwa moja ana udhibiti au anadhibitiwa na Promota au watoa huduma ya masoko wa promosheni hii, (na wanandoa,wapenzi,wanafamilia kwa karibu au washirika wa biashara au taasisi ziliotajwa hapo juu). Hii inamaanisha:

3.2.1 Promota;

3.2.2 Watoaji bidhaa na huduma katika promosheni hii na;

3.2.3 washirika wa promosheni, mashirika ya kuprinti,matangazo na promosheni, washauri wa kitaalamu na wafanyakazi wa mauzo walioajiriwa na au wenye mkataba wa, au kutoa bidhaa au huduma ya aina yoyote, kwa watu wote au taasisi zilizotajwa hapo juu wakati wa Kipindi Promosheni.

4. Jinsi ya kujiunga:

4.1 Katika kipindi cha promosheni, ni lazima washiriki kuwa na sifa zote zilizoelezwa kwenye kifungu cha 3 hapo juu na lazima afanye yafuatayo ili kushiriki;

Ili kuweza kushiriki, ni lazima mteja apige *149*03# na kununua bando lolote la Tusua Mapene kati yayale yaliyoko katika menyu ya “ya kwako tu”.

Tofauti na promosheni zingine, kampeni ya kuhamasisha ushiriki inatoa ofa za kuingia kwenye droo sambamba na muda wa bando kuisha(bando moja ya siku ni sawa na tiketi 1 ya  droo,bando moja ya  wiki ni sawa na tiketi  7 za droo. – Mwezi  (kuingia kwenye droo mara 30).

4.1.1 Ushiriki wa bure kwa siku ya kwanza:

4.1.1.1 Ili kuingia kwenye promosheni kama mshiriki wa bure “wa zawadi ya kwanza ya papo hapo”, mshiriki anaweza kununua bando lolote kati ya bando zilizopo na bando maalumu zinazotoa nafasi ya ushiriki/kuingia kwenye droo.

4.1.1.2 Baada ya kujiunga na bando hilo na kila SMS inayotumwa baada ya hapo, mshiriki atapokea SMS mbili kama majibu kwa kila SMS atakayotuma kwenda kwenye namba ya husika.

4.2 Baada ya mshiriki kutimiza mahitaji yote kwenye vifungu vya 3 na 4.1 hapo juu, ataingizwa moja kwa moja kwenye droo ya bahati nasibu kama ifuatavyo;

4.2.1 Washiriki wa promosheni hii watajipatia kete/pointi 1 kwa kujiunga kwenye promosheni. Kila kete/pointi ni sawa na kuingia kwenye droo moja.

4.2.1.1 Zawadi za siku:

Pale ambapo mteja atanunua bando, ataingia kwenye droo za kila siku ili kuweza kuwa mmoja ya washindi 10 watakaoshinda 100,000 kila mmoja;

  • Bando lolote la siku linamuingiza mteja kwenye droo ya siku ya bando alilonunua.
  • Bando lolote la wiki inamuingiza mteja kwenye droo ya kila siku kwa siku 7 kuanzia siku aliyonunua bando hilo.
  • Bando lolote la mwezi linamuingiza mteja kwenye droo ya kila siku kwa siku 30 kuanzia siku aliyonunua bando hilo.
  • Ukiacha ugawaji wa kete uliopangwa, mteja anaweza kutumia kete zake ndani ya siku moja ili kuweza kuongeza nafasi zake za kushinda au kuzitumia katika ofa zingine.

4.3 Kujiunga katikw promosheni kwa kutumia vifaa kama (dongo,vifaa vya telemetry n.k) au mashine hairuhusiwi na endapo mshiriki atatumia vifaa hivyo hatakua na haki ya kushinda zawadi.

4.4 Droo za bahati nasibu zitafanyika kila siku kama ratiba ya zawadi ilivyopangwa.

4.5 Washindi watataarifiwa kupitia njia ya simu na promota au wakala wenye mamlaka baada tu ya droo hizo kumalizika.

4.6 Mshiriki anatakiwa kujua na kukubali kwamba promota atatumia mhusika wa tatu ( wakala walioidhinishwa na promota) kuwasiliana na mshiriki pale ambapo atakua ameshinda na kupanga kuhusu mapokezi ya zawadi ili kuweza kurahisisha mchakato wa mawasiliano na mapokezi ya zawadi.Promota atatoka taarifa za mshiriki kwa mhusika huyo wa tatu.

5. Zawadi

5.1 Washiriki 10 ambao watatimiza mahitaji/masharti yote kama inavyoainishwa kwenye kifungu namba 3 na 4 hapo juu, wana nafasi ya kushinda kama ifuatavyo:

5.1.1 100,000 TZS kila mmoja

 

 

6. Maelezo Zaidi kuhusu jinsi ya kushiriki:

6.1 Kujiunga na kuendelea kushiriki kwa njia ya SMS:

Mteja atapiga *149*03# na kupata bando la promo la bure la siku, wiki au mwezi na kuingia katika droo.

Kadri unavyonunua bando nyingi, ndivyo unavyozidi kuongeza nafasi zako za kushinda.Ofa Zaidi zitaelezewa kwa wateja ili kuongeza ushiriki na uaminifu wa huduma za “ya kwako tu ofa”

8.         Upatikanaji wa taarifa na utaratibu wa jinsi ya kujitoa:

8.1.      Taarifa zote za washiriki wa promosheni zinazohusiana na promosheni hii zitachapishwa kwenye www.facebook.com/tzvodacom na pia zitapatikana kwa kupiga namba 100 kuongea na huduma kwa wateja wa promota. (bila malipo)

8.2.      Kila mshiriki ana uwezo wa kujitoa kwenye promosheni na kuacha kuendelea kupokea taarifa zozote za promosheni kwa kutuma SMS kuandika neno “STOP au ONDO” kwenda namba 15544 au kwa kupiga namba 100 (bila malipo) kuongea na huduma kwa wateja na kuomba kuondolewa kwenye promosheni. Endapo mshiriki ataamua kutuma SMS mpya kwenda namba 15544, atachukuliwa tena kama mshiriki kwenye promosheni.

8.3.      Kama promosheni itasitishwa kwa sababu yoyote ile, Promota wa promosheni atachapisha taarifa ya kusitishwa kwa promosheni kwenye www.facebook.com/tzvodacom.

8.4.      Kukatishwa au kuondolewa kwa promosheni kabla ya muda wake kuisha hakutamfanya promota kuacha wajibu wake wa kutoa zawadi zilizoshindaniwa na kushinda au kufanya jambo jingine lolote analotakiwa kufanya isipokuwa tu pale ambapo kusitishwa au kukatishwa kwa promosheni hii kumetokana na matendo na matukio yaliyo nje ya uwezo wa Promota.

8.5.      Promota wa promosheni hatatoa taarifa binafsi za washiriki wa promosheni kwa mtu yeyote yule asiyehusika isipokuwa tu pale anapotakiwa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

8.6.      Promota ana haki ya kutokuingia kwenye majadiliano/makubaliano ya maandishi au kuwasiliana na washiriki wa promosheni isipokua tu kwa mujibu wa vigezo na masharti ya promosheni hii au kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

8.7.      Promota anabaki kuwa na haki ya kuongeza namba (short codes) kwa matumizi yoyote na katika kipindi chote cha promosheni

 

 

 

 

 

 

 

 

9. Vigezo na Masharti mengine:

9.1 Promota,wakurugenzi wake husika, washirika, wanachama, wafanyakazi, mawakala, washauri, wasambazaji, makandarasi, matawi na wadhamini hawatohusika uharibifu au hasara kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja,ikiwa ni pamoja na madhara ya kimwili au kifo kwa njia yoyote ile kutokana na mshiriki kuingia kwenye promosheni au kukomboa zawadi zozote zinazotokana na promosheni hii,au kutokana na marekebisho ya taarifa ya zawadi na/au vigezo na masharti ya promosheni hii.Washiriki wote(pamoja na washindi) wanatamka hadharani kuwa hawatakuwa na madai dhidi ya promota kuhusuiana na promosheni hii au madai yoyote yatakayotokana na sababu zilizotajwa hapo juu.

 9.2 Pale kutakapokuwa na ulazima kutokana na mujibu wa sheria au sababu ambazo ziko nje ya uwezo wa promota , promota ana haki ya kubadilisha asili ya promosheni,zawadi au vigezo na masharti kwa kutoa ilani itakayochapishwa kwenye www.vodacom.co.tz au katika chombo kingine cha habari .Iwapo zawadi itabadilika au kutokuwepo, promota atabadilisha zawadi na zawadi yenye thamani sawa na hiyo.

9.3 Kuhusiana na kifungu 8.2 hapo juu, marekebisho yoyote ya vigezo na masharti yatakayochapishwa kwenye vyombo vya habari vyovyote au katika tovuti ya VODACOM www.vodacom.co.tz yatakua sehemu ya vigezo na masharti ya promosheni ambayo washiriki wamekubali kuyafuata.

9.4 Washindi watapigiwa simu na/au kutumiwa barua pepe kulingana na njia ya mawasiliano iliyotolewa na mshindi pindi alivyojiunga na shindano hili. Tafadhali kumbuka kuwa washindi hawatapewa taarifa kupitia njia ya SMS. Promota atajaribu kuwasiliana na mshindi kwa muda wa siku 10 baada ya jina lake kutambulika kama mshindi. Iwapo namba ya mshindi haipatikani (ndani ya muda uliowekwa katika kifungu 8.4)au ikatokea mshindi akakataa kuikubali zawadi basi zawadi itawekwa tena kwenye droo upya. Endapo mshindi atakuwa hapatikani kwa ajili ya kuipokea zawadi yake baada ya kushinda, promota atajaribu kuwasiliana na mshindi kwa muda wa wiki moja (1) na kama mshindi atakuwa hapatikani , zawadi itarudi upya kwenye droo.

9.5 Zawadi haiwezi kuhamishwa wala kubadilishwa na zawadi nyingine.

9.6 Uamuzi wa Promota kuhusiana na migogoro inayojitokeza kuhusiana na hii promosheni itashughulikiwa na promota kufuata vigezo na masharti ya promosheni hii kama yalivyoainishwa. Uamuzi wa promota katika suala hili utakua wa mwisho.

9.7 Washindi wana haki ya kushinda zawadi 1 (moja)tu kila kwenye kila mzunguko wa droo. (yaani zawadi kwa kila droo inayofanyika kwa siku na mwezi) lakini wanaweza kushinda zaidi ya mara moja kwa zawadi za papo hapo. Ili kuondoa mashaka, kila mshiriki mwenye sifa ana haki ya zawadi moja kwa kila droo itakayofanyika kwahiyo ana nafasi mbili za kushinda zawadi (moja kila aina)

9.8 Promota ana haki ya kushikilia zawadi mpaka atakaporidhika kwamba mdai wa zawadi hiyo ndiye mshindi sahihi na pia ana haki ya kuomba ushahidi pale itapobidi.

9.9 Promota (ikiwa ni pamoja na wawakilishi wake walioidhinishwa) wana haki ya kuchunguza watumiaji na/au akaunti zenye ulaghai, matusi , au tabia zisizoeleweka kwa hiari yake pekee, ndani ya muda wa promosheni, wakati wa droo za zawadi au baada ya washindi kuchaguliwa. Promota ana haki, kwa hiyari yake ,kumuondoa mshiriki bila kutoa taarifa kwa mshiriki.

9.10 Promota ataomba ridhaa ya washindi kuweka kwa maandishi kwamba wamekubali majina,sura na picha zao kutumika na kuchapishwa na promota kuhusiana na promosheni hii kwa kipindi cha miezi 12 baada ya kutangazwa kama mshindi.Washindi wanaweza kukataa majina,picha na sura zao kutumiwa na promota kwenye matangazo.

9.11 Kwa kushiriki katika Promosheni hii, washiriki wanakubali kwa ridhaa yao kuongozwa na vigezo na masharti kama ilivyoainishwa.

9.12 Kwa kushiriki katika Promosheni hii washiriki wote wanatoa ridhaa yao ya kupokea matangazo mbalimbali kuhusu promosheni kutoka kwa promota. Washiriki watakuwa na uhuru wa kujiondoa na kuacha kupokea mawasiliano hayo, ambayo inaweza kufanyika kupitia njia ambayo mawasiliano hayo yamepokelewa.

9.13 Washindi wanakubaliana na sharti la promosheni kwamba ili kuwa na haki ya kudai zawadi, mshindi atatakiwa kusaini na kukiri kupokea zawadi, pamoja na kiapo cha kuondoa wajibu na majukumu au dhana ya kisheria kama inavyoainishwa kwenye vigezo na masharti ya promosheni husika.

Listi ya Washindi

# Jina Mkoa Zawadi
1 Munira Jumanne Singida 500,000
2 Ayubu Kamwela Songwe 500,000
3 Karim Yusufu Mbinga 500,000
4 Suzan Pascal Ngara 5,000,000
5 Benard Msuya Geita 5,000,000
6 Rosemary Jimmy Singida 4,500,000
7 Izak Deo Kahama 4,500,000
8 Altos Mdenye Njombe 15,000,000
9 Yohana Mwite Morogoro 3,000,000
10 Gaudence Kinari Mbeya 500,000
11 Clarace Macharau Sumbawanga 3,000,000
12 Maria Bimlongo Mbeya 15,000,000
13 Bernard Ngusaro Ifakara 6,500,000
14 Petro Nasari Arusha 500,000
15 Edita Magubi Shinyanga 3,500,000
16 Abdallah Mnalema Dar es Salaam 7,000,000
17 Octavian Ngosongo Dar es Salaam 2,000,000
18 Attu Mwakobela Mbeya 1,000,000
19 Esta Alfan Dodoma 500,000
20 Andrea Mrino Arusha 500,000
21 Andrew Komba Songea 500,000
22 Schola Sonaya Mbeya 2,500,000
23 Imani Marundi Mwanza 15,000,000
24 Iddy Kadegi Iringa 6,000,000
25 Fabian Masiai Dar es Salaam 500,000
26 Nathaniel Maiko Mwanza 3,500,000
27 Hamis seif Said Sumbawanga 500,000
28 ANSILA NAMBONDE Songea 15,000,000
29 Hamis Bakari Morogoro 500,000
30 Dennis Damas Dar es Salaam- Tandale 500,000
31 Salome Matthew Igoma 500,000
32 Pangu Yegela Butimba 500,000
33 Tumsifu Ezekiel Mwanza 500,000
34 Rodison Enock Mwanza 1,000,000
35 Magreth Humba Mbeya-Mbozi 500,000
36 Elias Jesrika Shinyanga 500,000
37 David Malela Dar es Salaam 500,000
38 Nazareth Kisunga Songwe 500,000
39 Leopard Mpende Arusha 15,000,000
40 Paul Makongo Ukerewe 1,500,000
41 Ester Likombe Dodoma 500,000
42 Bryson Kilawa Njombe 1,000,000
43 Asteria Anthony Kahama 15,000,000
44 Mtaki Kusaga Dar es Salaam 500,000
45 William George Dar es Salaam 500,000
46 Neema Maheri Shinyanga 500,000
47 Oliver Weliweli Arusha 500,000
48 Kenath Mruthuli Arusha 15,000,000
49 Edwin Kiponda Mbeya 500,000
50 Anna Lize Mwenda Mbeya 500,000
51 Tumsifu Mhini Kigoma 500,000
52 Andrew Mtenga Kigoma 500,000
53 Zindemba Mchanagandi Biharamulo-Bukoba 500,000
54 Joseph Kinde Iringa 500,000
55 Issac Ashley Katavi 500,000
56 Msafiri Mwakapala Songea 500,000
57 Aziza Kabinji Songwe 15,000,000
58 Donatha Matabalo Kilimanjaro 3,500,000
59 Rudovick Mtui Singida 500,000
60 Rinda Mhewa Iringa 1,000,000
61 Upendo Mlaga Mbeya 2,000,000
62 Hussein Kapela Paul Dar es Salaam es Salaam 8,000,000
63 Hidaya I Mzirai Arusha 8,000,000
64 Leokardi Matthew Shirima Songea 12,500,000
65 Salum Mohamedi Kiluvya -Kibaha 500,000
66 Mwanahamisi Kasenje Pugu 500,000
67 Daudi Anania Mbeya-Tukuyu 500,000
68 Consava Mbawala Ruvuma 500,000
69 Joseph Danda Nyasa 4,500,000
70 Jonson Marya Dar es Salaam es Salaam 2,500,000
71 Fadhili kamia Arusha 3,000,000
72 Fausta Mowo Mwanza 500,000
73 Saumu Rajabu Arusha 500,000
74 Miraji Ally Dar es Salaam es Salaam(Buguruni) 500,000
75 Maria Mwanjuruni Bariadi 500,000
76 Mary Frank Dar es Salaam es Salaam(Mabibo) 500,000
77 Aaron Moses Munisi Hai ( Machama) 500,000
78 Ntakirutimana Kidege Mpanda 500,000
79 Nurdin Idrisa Morogoro 15,000,000
80 Mendlady Paul Dar es Salaam es Salaam 1,500,000
81 Andrew Kimario Shinyanga 3,500,000
82 Musa Sulemain Arusha 500,000
83 Gilbert Peter Arusha 500,000
84 Advella Mhinva Geita 15,000,000
85 Elia Mwanza Magu 500,000
86 Adella Godwin Mwanga Moshi Kilimanjaro 3,000,000
87 Alphonce Shirima Moshi 500,000
88 Silvia Msaki Dar es Salaam es salaam 500,000
89 Anna Mwakatapiga Mbeya 500,000
90 Nasra Ginga iringa 1,000,000
91 Nassor Nassor Arusha 15,000,000
92 Ruth Bakari Dar es Salaam es Salaam 500,000
93 Amani Mruma kilimanjaro 20,000,000
94 Joas Kanuku Mbeya 4,000,000
95 Ally Kilimanjaro Geita-Nyalugusu 15,000,000
96 Ally Said Tanga-Hale 1,000,000
97 Stephano Mahundi Nyasa-Ituhi 500,000
98 Fidelis David Mboya Pwani-Misugosugo 500,000
99 Mapinga Petro Ruvuma 500,000
100 Yohana Peter Geita-Mbongwe 6,000,000
101 Ibrahim Korongo Katavi Mpanda 500,000
102 Yusuph Musa Morogoro 4,000,000
103 Shaibu Isambe Dodoma 500,000
104 Moja Majanja Kahama 1,000,000
105 Bosco Mkwera Rudewa-Njombe 500,000
106 Peter Mlanditi Morogoro 500,000
107 Godwin Kasembe Dar es Salaam es Salaam 15,000,000
108 Joshua Safieni Mbeme Dar es Salaam es Salaam (Tegeta) 4,000,000
109 Faraja Mbede Meatu - Shinyanga 1,000,000
110 Ally Masoud Manyengo Shinyanga 15,000,000
111 Eliza Isaya Mwanza ( Nyamagana) 7,500,000
112 Abel Richard Kigoma(Kibondo) 500,000
113 Christian Kitazi Chunya 1,500,000
114 Oliver Petro Makambako 500,000
115 Suleiman Barakumbei Kigoma 500,000
116 Paul Simon Sembo Nzega Tabora 15,000,000
117 Kaziruni Mrisho Senge Mbezi ya Kimara 3,000,000
118 Isaya George Tanga 500,000
119 Willison Bunyaga Kilombelo Sukari 1,000,000
120 Aqulina George Geita 500,000
121 Method Msigwa Njombe 15,000,000
122 Mwajuma Shomali kilimanjaro- Same 15,000,000
123 Zareria alphoence Tabora 500,000
124 Asha Mabira Shinyanga 500,000
125 Praygod Njilo Moshi 2,500,000
126 Fausta Kitime Njombe 1,000,000
127 Muskini majuto Lubangula Mwanza 15,000,000
128 Zakaria Amosi Musoma 500,000
129 Ernest Mwita Dodoma 20,000,000
130 Aquenous Amolo Dar es Salaam es Salaam 20,000,000
131 Ngolo nsako Geita 12,000,000
132 Laurent Borongo Bukoba Mjini 500,000
133 Meliki Kibiki Makambo 8,000,000
134 Yahaya Mohamed Da es Salaam 2,500,000
135 Forgeth Nasibu Iringa 4,000,000
136 David Shirima Arusha 500,000
137 Ezra Chaula Singida-Manyoni 500,000
138 David Paul Mnzava Dodoma 4,500,000
139 Kau Ndumi Sahani Dar es Salaam es Salaam 500,000
140 Mary Msaky Kilimanjaro 500,000
141 Shakira Hassan Songea 1,000,000
142 Lucia Stilliano Sumbawanga 500,000
143 Elius Mgumi Mbeya 15,000,000
144 Ayoub Masoud Dar es Salaam es Salaam (Tabata) 3,500,000
145 Sifa Kyela 500,000
146 Martha Laurence Mafinga-Iringa 1,500,000
147 Mlay Phillip Dar es Salaam es Salaam 1,000,000
148 Motela Sanga Mfindi 500,000
149 Ayoub Daniel Singida 6,500,000
150 Bavina Luwavi Iringa 9,000,000
151 Ezekia Mwapamba Iringa 500,000
152 Stewart Kawago iringa 15,000,000
153 Tom Lianga Arusha 3,000,000
154 Eliakus Mjuni Mtawala Mtwara 13,000,000
155 Marko Sanga Mbeya 500,000
156 Mussa Kiberesho DSM 500,000
157 Liza Hangwa Mtwara 3,500,000
158 Hassan Msangi Iringa 15,000,000
159 Dogfrey Kajinga Tanga 500,000
160 Maria Charles Arusha 500,000
161 Happiness Mushi Arusha 2,500,000
162 Venosa Vincent Mashanda Moshi 4,000,000
163 Jamira Muddy Geita 500,000
164 Elias Maligo Dar es Salaam es Salaam 4,500,000
165 Atete Mlangwa Iringa 500,000
166 Anthony Mwalulambo Dar es Salaam es Salaam 500,000
167 Khadija Ally Moshi 13,500,000
168 Alfred Kileo Manyara 500,000
169 Esther Keneth Morogoro 1,500,000
170 Annathan Dar es Salaam es Salaam 500,000
171 leonard Sinzano Tanga 500,000
172 Richard Mwanjala Mbeya 500,000
173 Abinadabu Sawe Machame 15,000,000
174 Mary Ndamila Moshi 15,000,000
175 Joseph Christopher Kahama 2,500,000
176 Mohamed Hassan Arusha 3,500,000
177 Paulina Michael Simiyu-Maswa 500,000
178 Abbas Geodfrey iringa 1,500,000
179 Daniel Kimey Tunduma 500,000
180 Daniel Mwakajoka Kyela (Mbeya) 500000
181 Francis Njonzi Songea 15,000,000
182 Musa Hawasi Kilimanjaro 500,000
183 Kelvin Ngurumo Dar es Salaam es Salaam 500,000
184 Modesta Maganga Kahama 500000
185 Julius Sengerema Mabale 100,000,000
186 Michael Mdolo Mbozi - Songwe 2,000,000
187 Moses Machemba Dodoma 3,500,000
188 Nixon Benjamin Mbeya 1,500,000
189 Yahaya Mwinyi Mbeya 500,000
190 Mwidini Athuman Singida 4,000,000
191 Emmanuel Sokoma Njombe 7,000,000
192 Alex Ndevu Kigoma 8,500,000
193 Herman Kituka Musoma 1,000,000
194 Mch. Edasso Eke Dar es Salaam es Salaam 15,000,000
195 Ally Mohamed Dar es Salaam es Salaam 500,000
196 Reuben Mwita Arusha 3,500,000
197 Simon Fungo Makambo 500,000
198 Hendry Bahati Mpanda 500,000
199 Mbuliza Kahehe Dar es Salaam es Salaam 500,000
200 Shadida Shashi Mwanza 500,000
201 Abdal Amiri Kawe 5,500,000
202 Juma Changalala Mkulanga 500,000
203 Deodat Faustine Makambo 15,000,000
204 David Willifred Lugano kahama 500,000
205 Emmanuel Athuman Arusha 500,000
206 Samweli Mbise Arusha 500,000
207 Mariam Damson Mpanda 500,000
208 Godfrey Njau Moshi 10,500,000
209 Modi Kasembe Nachingwea 4,000,000
210 Musa Ramadhan Mshana Mbagala 5,500,000
211 Petro Maondola Mara 1,000,000
212 Martin Kinganja Mwanza 500,000
213 Selemani Mohamed Chanika 500,000
214 Jovin Richard/Praxeda Iringa 5,500,000
215 Leonard Philemon Rukwa 500,000
216 Kamili John Moshi 500,000
217 Meshack Mbilinyi Kilimanjaro 1,000,000
218 Fideli Filimoni Bukoba 15,000,000
219 Fidelis Kalima Kigoma 500,000
220 Alfred Mangura Dar es Salaam es salaam 15,000,000
221 Erasto Nuhu John Isaya Morogoro Vijijini 500,000
222 Dennis Juma Dar es Salaam es Salaam 500,000
223 martin chaula iringa 13000000
224 yahaya Tago Dar es Salaam es salaam 500,000
225 Mwasiti Athuman Dodoma 500,000
226 Hashim Hassan Mwanza 3,500,000
227 Gabriel Tarimo Dar es Salaam es salaam 6,000,000
228 Hamisi Juma Arusha 5,500,000
229 Stephano Msechu Mwanza 500,000
230 Sharifu Swalehe Iringa 500,000
231 Philimo Mathias Mwanza 500,000
232 Happiness Mkoba Segese/Kahama 500,000
233 Japhet Tiul Mkulanga/Dar es Salaam es Salaam 4,500,000
234 Husna Sambali Mbeya 15,000,000
235 Khija Patrick Shinyanga 14,500,000
236 Anna Peter Arusha 1,500,000
237 hermane gilda Dar es Salaam es salaam 2,000,000
238 nasimu maige kariakoo 500,000
239 Nqobiziensa Mbofu Dar es Salaam es salaam 500,000
240 Benjamin Mkandawile Mbeya Kyela 500,000
241 Leo Dengo Moshi 1,000,000
242 Saida Monge iringa mjini 500,000
243 Shukuru Andrew Arumeru 3,500,000
244 Enesmo Ndunduru Njombe 500,000
245 Fuwadi Ally Arusha 500,000
246 Lydia Lyabandi Upanga-Dar es Salaam es salaam 13,500,000
247 Anitha Masambagi Tegeta -Dar es Salaam es Salaam 500,000
248 Joseph Urassa Kilimanjaro-KIA 500,000
249 Esther Chiula Mbeya 500,000
250 Anna John Mallya Dar es Salaam es Salaam-Ubungo 500,000
251 Andrea Benedict Bambo Dodoma 500,000
252 Jorome Augustino Arusha 500,000
253 Kelvin Kajege Dodoma 2,000,000
254 Regidi Assenga Kilimanjaro 2,500,000
255 Hamisi Geita 500,000
256 Baridi Peter ARusha 500,000
257 John Maganga Shinyanga Kahama 100,000,000
258 Festo Philimoni Dodoma 2,000,000
259 Mery Chitama Dodoma 8,500,000
260 Annastazia Alikadi Dodoma 3,000,000
261 Edwin Mrema Arusha 500,000
262 Victoria Kamyele Morogoro 500,000
263 Mwanakanya Patrick Dar es Salaam es Salaam 5,000,000
264 Sikudhani Julias Mwanza 500,000
265 Hamad Athuman Songea 15,000,000
266 Happy William Mbeya 500,000
267 Abiudi Nehemia korogwe-Tanga 12,000,000
268 Emmanuel Msengi Dar es Salaam es Salaam 500,000
269 Marwa Nyambega Tarime 500,000
270 Naomi Emmanuel Misungwa 500,000
271 Debora Mhagama Njombe 2,500,000
272 Joseph Kimario Arusha 1,500,000
273 George Francis Mwanza 500,000
274 Macdonlad Makalipuka Mbeya 5,000,000
275 Sarapion Sarastiel Kagera 500,000
276 Selemani Saidi Lindi 3,000,000
277 Evarist Nkano Dar es Salaam es Salaam -Yombo 3,500,000
278 Nickson Mchomvu Babati 4,000,000
279 Ambokile Mwasanyela Rukwa 12,000,000
280 Jacqueline Abdulazizi Tegeta-Dar es Salaam es salaam 500,000
281 Elicy Yusto Kagera 500,000
282 Mayange Yasini Kigoma 1,500,000
283 Mohamed Mbwana Singida 500,000
284 Mshindi* 500,000
285 Seif Juma katavi 500,000
286 Faustina Felix Mbuya Dar es Salaam es Salaam Tandika 500,000
287 Samion Julius Mwanza 500,000
288 Eliakimu Ngwamaji Kigoma 1,000,000
289 Mshindi* 500,000
290 Grace Alphone Bendera Katavi 5,000,000
291 Husein Chombo Mtwara-Masasi 1,000,000
292 Zelia Adolph Wenga Dodoma 1,000,000
293 Wilson Lekudeki Moshi 7,000,000
294 Liberatus Daud Ukerewe- Mwanza 500,000
295 Venus Maximillian Tarime-Mara 500,000
296 Dastan Lyimo Temeke-Dar es Salaam es Salaam 15,000,000
297 Obed Aron Mbeya-Ilembo 500,000
298 David Zakayo Pugu 3,000,000
299 Boniface Tadei Kimario Sirari-Mara 20,000,000
300 Osward Mtanga iringa 500,000
301 Mwasi Joseph Moshi 500,000
302 Sila Daudi Samila Dodoma-Kongwa 500,000
303 Mshindi* 500,000
304 Masala Masunga Shinyanga 500,000
305 Jackson Kibona Songwe 500,000
306 George Victor Ndela Kipawa Dar es Salaam es Salaam 1,000,000
307 Mashindano Livinus Dar es Salaam es Salaam 1,000,000
308 Bennedict Kilimba Mwanza 3,000,000
309 Jenny Mvungi Arusha 1,500,000
310 Davil Welikhe Dar es Salaam es Salaam 5,000,000
311 Monica Samweli Mwanza 500,000
312 Gervas Malick Morogoro 1,000,000
313 Godfrey Kobole Iringa 1,000,000
314 Michael Evarist Mwanga Dar es Salaam-es -salaam Kigamboni 9,000,000
315 Kagambo Johnson Mara-Bunda 3,500,000
316 Edwin Seth Geita 500,000
317 Mshindi 500,000
318 Mwamini Mudy Juma Dodoma 4,000,000
319 Mshindi* 500,000
320 Yusto Michael Nicholaus Kilimanjaro 500,000
321 Andrew Mwankemwa Mbeya Tukuyu 290,409,580
Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa