Vodacom Business inashirikiana na kampuni zenye ukubwa wa kati kuwapa huduma zinazowasaidia kutimiza malengo.
Huduma hizi zinawapa uwezo zaidi katika masoko yao yote.

kampuni za Kati

SIM Manager

SIM Manager ni huduma inayowezesha kampuni kusimamia utumiaji, gharama na uwezo wa kuongeza salio kwenye kadi za SIM zote katika kampuni.

Huduma hii inawezesha wasimamizi wa kampuni kuwa na maelezo zaidi kuhusu matumizi na gharama katika kampuni zao.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa