Vodacom Business inashirikiana na kampuni zenye ukubwa wa kati kuwapa huduma zinazowasaidia kutimiza malengo.
Huduma hizi zinawapa uwezo zaidi katika masoko yao yote.

kampuni za Kati

SupaKasi

Tukiwa na mtandao ulioenea zaidi Tanzania, SupaKasi inawezesha biashara ndogo na watumiaji wa intaneti nyumbani kujiunga kwenye intaneti ya kasi zaidi na kwa bei nafuu.

Ukiwa na SupaKasi unaweza:

 • Ungana na wateja wako kwa kupitia Video call.
 • Tumia intaneti kwa masuala ya kazi au kujifunza.
 • Unganisha wafanyakazi au familia nyumbani kufurahia intaneti.
 • Angalia luninga au cheza michezo ya kwenye intaneti na familia
  • Faida:

   • Inaaminika.
   • Burudani za familia.
   • Intaneti isiyo na kikomo kwa bei nafuu.
   • Msaada masaa 24.
   • Kujua bei ya kuunganishwa kwa mwezi

   Kuunganishwa na SupaKasi, tembelea duka lolote la Vodacom au jaza fomu hapo chini.

   Bei ya kuunganishwa kwa mwezi
   Hadi spidi 10Mbps 115,000/=
   Hadi spidi 20Mbps 165,000/=

   Angalia maeneo yalio huduma hii


   Maswali yaulizwayo mara kwa mara

   Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa