Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Tunatoa huduma ya M-Pesa kwa Biashara ili kukuwezesha:

Kutoa mishahara, mikopo, malipo na kadhalika, kwa wafanyakazi na wateja kupitia M-Pesa.

Inahakikisha uwazi,utendaji bora, na kuondoa hatari za pesa taslim.

Wateja wanaweza kulipa bili zao, ikiwa ni pamoja na kodi, ada na vinginevyo bila kusubiri kwenye foleni.

Biashara zinazojiunga na M-Pesa kwa Biashara, kufanya malipo zaidi ya biashara 1,000 zinazotumia mtandao wa Vodacom.

Kwa Taarifa zaidi bofya linki hii M-Pesa kwa Biashara

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa