Ada za M-Pesa

ViwangoAda kwa Mteja(Tsh)
Kuanzia Mpaka Kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa / mitandao washirika Kutuma Pesa kwenda Mitandao Mingine Kutuma pesa kwa wateja wasiosajiliwa Kutoa pesa kwa wakala/ATM
0 999 15 15 N/A N/A
1,000 1,999 30 35 375 350
2,000 2,999 30 45 375 400
3,000 3,999 50 76 650 600
4,000 4,999 60 90 710 650
5,000 6,999 130 200 1080 950
7,000 9,999 150 200 1,150 1,000
10,000 14,999 350 550 1,800 1,450
15,000 19,999 360 550 2,210 1,450
20,000 29,999 380 600 2,230 1,850
30,000 39,999 400 680 2,750 1,850
40,000 49,999 410 750 3,110 2,350
50,000 99,999 720 1,250 4,370 2,700
100,000 199,999 1,000 1,600 6,300 3,650
200,000 299,999 1,200 1,900 7,700 5,300
300,000 399,999 1,500 2,300 8,500 6,500
400,000 499,999 1,500 2,500 9,000 7,000
500,000 599,999 2,200 3,200 10,200 7,500
600,000 699,999 3300 4,300 11,300 8,000
700,000 799,999 3300 4,300 11,300 8,000
800,000 899,999 3,500 4,300 11,500 8,000
900,000 1,000,000 3,500 6,000 11,500 8,000
1,000,001 3,000,000 5,000 6,000 N/A 8,000
Over Tsh 3,000,000 5,000 6,000 N/A 10,000
 • Lipa kwa M-Pesa

  ‘Lipa kwa M-Pesa’ is Vodacom’s Merchant payments solution to digitize payments in the Tanzania retail Ecosystem and enable merchants and retailers collect payments seamlessly while helping customers to avoid the risks and burdens of carrying cash

 • M Pawa

  This is a revolutionary banking product from CBA and Vodacom that allows you to save money through your phone,earn interest from your savings and eventually get micro loans when you need them. M-Pawa is here as a reliable friend who will give you a helping hand to move forward and see your plan through in life.

 • M-Pesa APP

  M-PESA the largest and most innovative mobile financial service in Tanzania has enriched its transaction experience by launching its M-PESA APP. The APP provides a truly transformative customer experience. By using the app you get a richer experience on all transaction types be it sending money to loved ones, accessing your bank account, paying for goods and services, sending or receiving money internationally and transacting from anywhere in the world as long as you have data connectivity. 

KUMBUKA

 • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
 • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
 • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
 • Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
 • Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
 • Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambulisho chako
 • Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
 • Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
 • Kwa akaunti za M-Pesa ambazo hazijatumika kwa zaidi ya siku 150, Ada ya Tsh 600/= itatozwa kwa ajili ya usimamizi wa akaunti kila mwezi.
  Pesa zitakazobaki kwenye akaunti ya mteja bila kutumika kwa zaidi ya miaka mitano zitapelekwa kwenye mamlaka husika kulingana na
  sheria za nchi ya Tanzania.
 • M-Pesa huonyesha salio kwenye kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
 • Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa katika huduma ya LIPA KWA M-PESA utatozwa ada ndogo ya 0.5% ya kiasi unacholipa kwa malipo yote ya hadi Tsh 1,500,000/=. Kwa malipo ya kati ya Tsh 1,500,001/= hadi Tsh 2,000,000/= utatozwa ada ya Tsh 7,500/= na kwa malipo ya kuanzia Tsh 2,000,001 na kuendelea utatozwa ada ya Tsh 8,000/=.
 • Ada zote zilizoainishwa hapo juu zimejumuisha kodi zote za serikali
 • Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 bure
 • Unaweza kupata nakala ya miamala yako ya M-Pesa BURE kupitia njia ya barua pepe au kutozwa Shs 3,000/- kwa kila mwezi ulioombea ili kugharamia gharama za kuchapa kupitia Maduka yetu ya Vodcaom
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa