Kutoa M-Pesa kwa Wakala

Kutoa pesa taslimu kutoka Akaunti ya M-Pesa kutoka kwa zaidi ya mawakala 106,000 kote Tanzania

Kutoa M-Pesa kwenye ATM

Kutoka kwenye Simu

  • Piga *150*00# na chagua Kutoa Pesa
  • Weka namba ya Wakala
  • (999999 kwa ATM ys Benki)
  • Weka namba ya siri
Utapokea SMS yenye tarakimu 6 za vocha ambazo utazitumia kwenye ATM nda ya dakika 5 (mfano 123456)

Kutoka kwenye ATM

  • Chagua M-Pesa
  • Ingiza tarkimu 6 ulizopata kwenye SMS
  • Weka namba ya simu ya M-Pesa
  • Weka kiasi
  • Chukua pesa na risiti yako

* Kiasi cha juu cha kutoa kwenye ATM in Tsh 400,000 kwa muamala na Tsh 1,000,000 kwa siku
* Tembelea Vodashop ukiwa na nakala ya Kuongeza ukomo wa kutoa mpaka Tsh3,000,000 kwa siku
* Vigezo na masharti kuzingatiwa

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa