23/12/2019

Bodi ya Wakurugenzi ya Vodacom Tanzania inawataarifu kuwa Bw. Andries Delport
na Bw. Till Streichert watajiuzulu nyadhifa zao kama wakurugenzi wasio watendaji.
Bw. Delport atajiuzulu ifikapo tarehe 14 Mei 2020 na Bw. Streichert atajiuzulu kabla
au ifikapo tarehe 30 Juni 2020 kadri itakavyokubalika.


Bodi inachukua fursa hii kuwashukuru Bw. Streichert na Bw. Delport kwa mchango
wao katika kipindi chote wakiwa Wakurugenzi wa Bodi na inawatakia mafanikio
mema katika shughuli zao za baadaye.


Kwa idhini ya Bodi.
Caroline Mduma
Katibu wa Kampuni
23 Disemba 2019

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa