Nipige Tafu

Kwa nini uchague Huduma ya Nipige Tafu

Mtandao bora
kwa Smatifoni yako

Mtandao wa
4G yenye kasi zaidi

Nipige Tafu
ya Kwako tu

Ni Rahisi na haraka
kutumia Nipige Tafu

Kuangalia, kiasi cha mkopo wako, piga simu *149*01# halafu chagua Nipige Tafu kisha Salio la Mkopo Ongeza salio la muda wa maongezi kupitia Vocha au MPESA, kulipia mkopo wako hapohapo.

Unataka Huduma ya Nipige Tafu?

Ni huduma inayowawezesha wateja wa Vodacom kukopa muda wa maongezi au vifurushi na kasha kulipa na riba. Mteja atatakiwa kupiga *149*01# kisha NIPIGE TAFU.

Hapa mteja ataona kiasi atakachoweza kukopa, salio la mkopo na ukomo wa mkopo

Kiasi cha mkopo kinaanza Tsh.400 mpaka Tsh.12,500 na riba ni 10% mpaka 25%

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Terms and conditions apply !

NB: Nipige Tafu service operates dynamical in which once system identify the customer number that’s when we will populate offers accordingly similar mechanics to JustForYou

Hakimiliki © 2018 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa