Piga maelezo kwa ujumla

Inapatikana simu ya simu

Fire Diamond

Bonyeza hapa

Siteketei

Bonyeza hapa

Tekno - RARA

Bonyeza hapa

Huduma ya Vodacom ya Muito kwa Mpigaji

Muito kwa Mpigaji ni huduma inayowapa wateja Vodacom uwezo maalum kuweka au kegeuza miito kwa mpigaji.Kwa kawaida simu huwa na muito inayochosha na isiyofurahisha kama mlio wa "tring-tring". Uwezo kwa mteja kubadili au kuweka muito autakao, umefungua fursa mpya kwa wateja wa Vodacom. Ili kutumia huduma hii, hakikisha namba yako imesajiliwa kwa alama ya vidole.

Piga *149*01*61# na chagua Muito uutakao

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Jina lako kama Muito

Ni muendelezo maalum wa Muito kwa Mpigaji unaowezesha Jina lako kuwekwa kama muito. Hii imaana kwamba unaweza kubadili kadri uwezavyo muito wa simu yako na kuwapa Zawadi familia na marafiki.

Piga *149*01*61# na chagua Muito uutakao,SMS ‘JINA LAKO” kwenda 15577 na upokee simu yenye muito wenye jina lako unaombatana na muziki wa chaguo lako kutoka kwenye orodha iliopo kwenye huduma

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Maelezo Yangu

Ni muendelezo maalum wa Muito kwa Mpigaji unaowezesha Wafanya Biashara na Watu binafsi kubadili muito kuwafahamisha wafanyakazi wenzao, marafiki au wanafamilia kuwa hawana nafasi ya kupokea simu. Inaweza kuwa wako kazini, kwenye kikao n.k

Piga *149*01*61# na chagua Muito uutakao, SMS ‘MAELEZO YAKO” kwenda 15577 na upokee simu yenye muito wenye jina lako unaombatana na muziki wa chaguo lako kutoka kwenye orodha iliopo kwenye huduma.

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa