Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Sim Manager

Je! Ungependa kua na uwezo wa kusimamia matumizi na huduma za simu za kampuni yako?

SIM Manager ni huduma inayowezesha kampuni kusimamia utumiaji, gharama na uwezo wa kuongeza salio kwenye kadi za SIM zote katika kampuni.

Huduma hii inawezesha wasimamizi wa kampuni kuwa na maelezo zaidi kuhusu matumizi na gharama katika kampuni zao.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa