Usajili wa Laini

Mchakato wa usajili wa Laini ya simu umefanywa rahisi sasa;

Kabla ya kutumia laini yako ya simu; nambari yako inahitaji kusajiliwa kikamilifu, unachotakiwa ni kutembelea duka lolote la Vodacom au Mawakala wetu wa Usajili ukiwa kitambulisho chako sahihi cha kujiandikisha. Yafuatayo ni muhimu kuhakikisha usajili wako unakuwa kamilifu.

Utahitajika kutoa kitambulisho sahihi kwaajili ya usajili wa laini yako na kinachofuata ni utambuzi uliothibitishwa

  • Utambulisho wa Taifa wa Tanzania (Kigeni au Tanzania)
  • Utambulisho wa mpiga kura Tanzania (Tanzania Mainland na Zanzibar)
  • Leseni ya Udereva Tanzania (Wananchi wa Kigeni au Tanzania)
  • Pasipoti (Wananchi wa Kigeni au Tanzania)
  • Utambulisho wa makazi ya Zanzibar (Zanzibar)

Wakala wa usajili watachukua picha yako halisi kupitia vifaa maalumu, mbele ya kitambulisho chako, Nyuma ya Kitambulisho na kujaza maelezo ya maandishi kwenye fomu ya elektroniki katika programu.

Unahitaji kuweka sahihi baada ya kuthibitisha maelezo yaliyochukuliwa kuhusu wewe ni sahihi..

Pale namba yako itakaposajiliwa kikamilifu, piga *106 # kuthibitisha maelezo yako ya usajili na ongeza salio ili kuanza kutumia huduma zetu bora

Jisajili nambari yako kufikia huduma zetu !!!!

Bofya hapa kuangalia Vodacom duka karibu yako na kupata mawasiliano kwa msaada zaidi!

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa