Vodacom Business inatoa huduma kwa biashara ndogondogo na kupitia teknolojia za kisasa wanawawezesha kukuza biashara zao.
Kupitia huduma hizi biashara wanaweza kuongeza uwezo pamoja na biashara katika masoko.

kampuni ndogo

Bulk SMS

Bulk SMS ni njia ya kununua na kutuma SMS nyingi kwa ujumla. Huduma hii inawezesha biashara kuwasiliana na wateja wako kwa urahisi zaidi.

Biashara zinakuwa na uwezo wa kuenea zaidi katika soko na kupunguza gharama wakiwa wanajenga biashara na wateja wao.

Huduma hii inakupa taarifa na ripoti kusimamia matumizi yako wakati wowote.

Pia inakuwezesha kutuma na kupokea taarifa za miamala na matangazo kwa bei nafuu.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa