Vodacom Business inatoa huduma kwa biashara ndogondogo na kupitia teknolojia za kisasa wanawawezesha kukuza biashara zao. Kupitia huduma hizi biashara wanaweza kuongeza uwezo pamoja na biashara katika masoko.

Kampuni Ndogo

Kupiga Simu na Data

Bando zetu za mikataba inakupa muda wa kuongea kwa bei nafuu ikiwa ni kwa simu za hapa nchini au kimataifa. Hii ni kutokana na washiriki wetu waliopo kote duniani.

Mtandao wetu pia unawezesha uwezo wa kupata intaneti kupitia njia kadhaa (fixed data, intaneti, na 4G).

Kupitia mtandao supa wa Vodacom unaoaminika, biashara zinaweza kupata faida ya kasi zaidi.

Tumejitahidi sana kujenga miundombinu itakayotoa muunganisho wa fiber kote nchini.

Hii inahakikisha kwamba kampuni zinakuwa na mwunganisho wa intaneti yenye kasi zaidi

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa