Vodacom Business inatoa huduma kwa biashara ndogondogo na kupitia teknolojia za kisasa wanawawezesha kukuza biashara zao.
Kupitia huduma hizi biashara wanaweza kuongeza uwezo pamoja na biashara katika masoko.

Biashara ya kati

M-Pesa Kwa Biashara

M-Pesa kwa Biashara ni huduma maalum kwa biashara. Inatoa huduma zifuatazo:

Inahakikisha uwazi,utendaji bora, na kuondoa hatari za pesa taslim.

Wateja wanaweza kulipa bili zao, ikiwa ni pamoja na kodi, ada na vinginevyo bila haja ya kujipanga katika mistari.

Biashara zinazojiunga na M-Pesa kwa Biashara sasa zinaweza kutuma malipo kufikia biashara zaidi ya 1,000 zilizopo na Vodacom.

Kwa Taarifa zaidi bofya linki hii M-Pesa kwa Biashara

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa