• Miaka 10 ya M-Pesa
 • Unashiriki vipi?
 • Zawadi za Miaka 10 ya M-Pesa
 • Maswali Yaulizwayo Mara kwa mara
 • Vigezo na msharti vya Miaka 10 ya M-Pesa

Miaka 10 ya M-Pesa

Miaka 10 ya M-Pesa
Katika kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa, Vodacom inanogesha furaha ya watanzania kwa kutoa zawadi za pesa taslim pamoja na magari MAPYA kabisa Aina ya Renault KWID 2017. Jumla ya magari 10 na Shilingi milioni 120 pesa taslim zitatolewa katika kipindi cha wiki 10 kwa wateja wa M-Pesa, mawakala na wafanyabiashara wanaopokea malipo kwa huduma ya Lipa kwa M-Pesa. Unachotakiwa kufanya ili kufurahia zawadi hizi ni kutumia akaunti yako ya M-Pesa mara nyingi zaidi uwezavyo.

Unashiriki Vipi?

Unashiriki Vipi?

Huna haja ya kujisajili au kujiunga na chochote! Tumia M-Pesa kufanya miamala mingi kwa kadiri uwezavyo, kununua Vifurushi, muda wa maongezi, kutuma au kupokea pesa,kufanya malipo na miamala ya Huduma za kifedha (Benki)

Zawadi za Miaka 10 ya M-Pesa

Zawadi kuu za kila wiki. Magari 10 MAPYA kabisa!

Kila wiki, mtumiaji mmoja wa M-Pesa atapata Bahati ya kujishindia gari JIPYA kabisa la kisasa aina ya Renault KWID la mwaka 2017. Mshindi wa gari anaweza kuwa mteja, wakala au mfanyabiashara anayepokea malipo kupitia huduma ya LIPA kwa M-Pesa Kuchangamkia fursa hii ni rahisi sana, Tumia M-Pesa kila wakati ili kuongeza nafasi zako za ushindi.

Zawadi kwa wateja kila Wiki

Kila wiki, wateja 10 watajipatia nafasi ya kushinda sh milioni 1 kila mmoja Kila sh 500 unayoitumia kwenye muamala wowote wa M-Pesa inakupa nafasi/pointi 1 kwenye droo za kila wiki Miamala yote kama kutuma pesa, kuweka pesa, kulipa bili, kununua muda wa maongezi na vifurushi, kutuma pesa nje ya nchi, kuwalipa wafanyabiashara n.k inakuwezesha kushinda pesa au gari jipya. Jinsi unavyotumia zaidi ndio jinsi unajiongezea nafasi zaidi za kushinda. Promosheni hii ni kwa wateja wote wa M-Pesa (wapya na wa muda mrefu).

Zawadi kwa Mawakala

Kila wiki ndani ya wiki 10 wakala 1 wa M-Pesa atajishindia shilingi milioni 1 Kila sh 10,000 unayoitumia kwenye muamala wa kuweka au kutoa Pesa inakupa nafasi/pointi 1 kwenye droo za kila wiki Jinsi unavyotumia zaidi ndivyo jinsi unavyojiongezea nafasi zaidi za kushinda. Mawakala wapya na wa zamani wana nafasi ya kushinda kwenye promosheni hii. KUMBUKA: Wakala, wajulishe wateja wako waweke pesa kwenye M-Pesa ili nao wapate nafasi ya kujishindia gari jipya na pesa taslim.

zawadi kwa wafanyabiashara

Kila wiki ndani ya wiki 10 mfanyabiashara mmoja anayepokea malipo kwa M-Pesa atajishindia shilingi milioni 1 Kila sh 10,000 ya malipo unayopokea kwa M-Pesa inakupa nafasi/pointi 1 kwenye droo za kila wiki Jinsi unavyopokea zaidi malipo kwa M-Pesa ndivyo jinsi unavyojiongezea nafasi zaidi za kushinda. Wafanyabiashara wapya na wa zamani wana nafasi ya kushinda kwenye promosheni hii Iwapo tu wanatumia M-Pesa ndani ya kipindi cha promosheni. KUMBUKA: Wajulishe wateja wako wakulipe kwa M-Pesa ili wote mpate nafasi za kujishindia kwenye Zawadi za kila wiki ikiwemo gari JIPYA kabisa.

Maswali na Majibu ya Miaka 10 ya M-Pesa.

1. Kampeni ya miaka kumi ya M-Pesa ni nini?

Hii ni kampeni inayoendeshwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea miaka 10 ya M-Pesa nchini Tanzania. Kampeni hii inatoa nafasi kwa wateja wake kushinda zawadi mbalimbali. Droo huchezeshwa kila jumanne kwa wiki kumi za kampeni kupata washindi tofauti.

2. Zawadi gani hutolewa kwenye hii kampeni?

Kupitia kampeni hii ya miaka kumi ya M-Pesa wateja wataweza kujishindia zawadi za MAGARI na MAMILIONI kwa mchanganuo ufuatao.
 • Wateja: GARI moja kila wiki ndani ya wiki nane. MILIONI moja kila wiki kwa wateja 10 ndani ya wiki 10.
 • Mawakala. GARI moja kila wiki kwa wiki mbili. MILIONI moja kila wiki kwa mawakala 10 ndani ya wiki 10.
 • Wafanyabiashara: MILIONI moja kila wiki kwa wafanyabiashara 10 ndani ya wiki 10.

3. Ntafanyaje ili niweze kushinda?

Kwa wateja wa VODACOM wanatakiwa kutumia M-Pesa kufanya miamala mbalimbali kwa wingi Zaidi. Kila unapofanya miamala ya kuanzia SH. 500 mteja atapata point moja. Hivyo jisni unavyozidi kutumia M-Pesa ndivyo unavyoweza kupata nafasi ya kuingia kwenye droo na kushinda. Miamala itakayoongeza pointi kwa mteja ni pamoja na kukua muda wa maongezi au vifurushi, Kulipia bili, Lipa kwa M-Pesa, Tuma Pesa, Hamisha Pesa kutoka Benki kwenda M-Pesa. Kwa mawakala, watapata pointi wakiweka na kutoa Pesa kwa wateja. Kila 10,000 itampa pointi moja. Kwa wafanyabiashara, watapata pointi wakipokea malipo ya biashara kutoka kwa wateja. Kila 10000 itampa pointi moja.

4. Ntaangaliaje pointi zangu?

Mteja Wakala: ataweza kuangalia pointi zake kwa kupiga *150*00#, kisha atachagua namba 6.SHINDA GARI na kuweza kuangalia pointi zake za siku au jumla. Mfanyabiashara: ataweza kuangalia point zake kwa kupiga *150*00# kisha atachagua SHINDA MAMILIONI na kuweza kuangalia pointi zake za siku au jumla.

5. Je ntajuaje kama nimeshinda?

Wateja watakaokuwa wameshinda kwenye droo ya wiki watapigiwa simu kwa kutumia namba maalumu ya Vodacom. +255 (0) 754 100 100. Wateja wajihadhari na matapeli hakuna mtu kutoka Vodacom atakae kupigia simu na kukuomba pesa yoyote.

6. Je Ntapewaje zawadi ?

Maelezo yote yatatolewa utakapopigiwa simu na wawakilishi kutoka Vodacom.

Vigezo na Masharti vya Miaka 10 ya M-Pesa.

Service Description:

1. APPLICABILITY.

These Terms and Conditions (“Conditions of Use”) are available and applicable to all M-PESA Customers, M-PESA Agents, Merchants and Vodacom Staff. The draw promotion is activated effectively once you transact via M-PESA during the promotion period as defined in these Conditions of Use and per the criteria defined below.

 • The draw will be running at end of the week but winners will be determined on Weekly basis.
 • The more you transact or receive payments the more point you earn thus increase your chance of winning a price.

2. DEFINITIONS AND INTERPRETATION.

 • 2.1 "HQs" means headquarters.
 • 2.2 “HORs” means Head of Regions
 • 2.3 “TM” means Territory Managers
 • 2.4 “P2P” in this context means transfer e-money from Registered M-Pesa Customer to another registered M-Pesa customers.
 • 2.5 “Transaction” means (as the context requires) as follows;
 • 2.5.1 For Merchants –when receiving E-Money from M-PESA customers (LIPA KWA M-PESA) in exchange of services and or goods offered by the Merchants
 • 2.5.2 For M-PESA Agents- when depositing E-Money to M-PESA customers or when M-PESA customers withdraw E-Money in exchange of cash from M-PESA Agents
 • 2.5.3 For M-PESA Customers and Vodacom Staff- when making payments via M-PESA by either buying goods or services from Merchants (LIPA KWA M-PESA) or when transferring E-Money to a third party with an M-PESA business collection account (C2B) or when transferring E-Money from their M-PESA accounts to another M-PESA Customer (s). For the avoidance of doubt, the transfer of E-Money from M-PESA Customers to other telecom operators’/Company’s customers is hereby excluded and shall not be considered as a transaction in these Conditions of Use.
 • 2.6 “Completed Transaction” means is when E-Money is debited from the sender’s M-PESA account and successfully credited into the Recipient’s M-PESA account. The word “Sender” shall mean M-PESA Agents or M-PESA Customers or Vodacom Staff and the word “Recipient” shall mean the Merchant, M-PESA Agents, M-PESA Customers, Vodacom Staff or a third party with an M-PESA business collection account.
 • 2.7 “E-Money” means the electronic money issued by Vodacom and representing an entitlement to an equivalent amount of cash monies held by the Trustee in respect of the purchase of such electronic value;
 • 2.8 “Trustee” means M-PESA Limited which holds the aggregate of all Payments and sums equivalent to all transfers of E-Money into your M-PESA Account from other Customers on trust for you in the Trustee Account
 • 2.9 “M-PESA Agent” means a retailer recruited by Vodacom or Vodacom Aggregator on behalf of Vodacom to provide M-PESA services to M-PESA Customers on behalf of Vodacom;
 • 2.10 “Merchant” means a person or an entity recruited by Vodacom or Vodacom Merchant Aggregator on behalf of Vodacom who receives payment for goods bought by its customer or services rendered to its customers via M-PESA.
 • 2.11 “Working Days” means Monday to Friday except Saturdays and Sundays and days which are gazetted as public Holidays within the United Republic of Tanzania;
 • 2.12 “Winners Notifications” means phone calls from HQs, Respective HORs/TMs
 • 2.13 “C2B (Customer to Business)” means when M-PESA Customers or Vodacom Staff transfer E-Money to a third party with an M-PESA business collection account.
 • 2.14 “Goods and Services” means such goods and or services as may be purchased by M—PESA Customers or Vodacom Staff from the Merchant outlets via M-PESA
 • 2.15 “Conditions of Use” means these terms and conditions as may be varied by us from time to time.
 • 2.16 “SMS” means short message services consisting of a text message transmitted from one mobile phone to another;
 • 2.17 "You” (or “you”) and “Your” (or “your”) means the M-PESA Agents, Merchants, M-PESA Customers or Vodacom Staff
 • 2.18 "Vodacom" or "We" (or "we") or "us" or “our” means Vodacom PLC Tanzania and (where applicable) the Trustee;

3. RULES OF PARTICIPATION

M-Pesa 10 Years Anniversary promotion (hereinafter referred to as “the promotion”), will be monitored by Vodacom throughout the promotion period and participants in this promotion shall only be M-PESA Customers, M-PESA Agents, Merchants and Vodacom staff (hereinafter referred to as “participants”). Our automated reward engine will run the draw and determine winners as per these Conditions of Use.

3.1 GENERAL RULES for all aforementioned participants are as follows;

 • 3.1.1 There will be a reward engine system that shall monitor your transaction performance, scoring points, position hence thereafter reward the winners accordingly
 • 3.1.2 You shall perform transactions to participate and win the prize
 • 3.1.3 Only completed transactions will add you a winning point.
 • 3.1.4 Upon winning a draw you shall automatically be eliminated from ongoing draws and you shall be disqualified from participating in this promotion
 • 3.1.5 Notification to winners shall only be via phone calls from HQs, Respective HORs/TMs whereby calls will only be made to participants mobile phone numbers used to transact during the promotion period. If the winner is not reachable after being called 3 times, a draw will be run to get a another winner
 • 3.1.6 The winners shall receive their respective awards within three (3) Working Days from the date of notification.
 • 3.1.7 Only M-PESA Customers, Vodacom Staff, Merchants and M-PESA Agents are eligible to participate in this promotion
 • 3.1.8 There will be two draws that will be run on Tuesday every week for all completed transactions performed during the previous calendar week (Monday to Sunday) whereby winners will be announced after the draw. The more you transact the more the chances of winning a prize. These draws are as follows;
 • 3.1.8.1 One draw will be run to determine a winner of a car prize
 • 3.1.8.2 One draw will be run to determine winners of cash prizes

3.2 PRIZES AWARDED DURING THE PROMOTION

 • 3.2.1 Car prize: One winner of a car prize will be announced every week. Only M-PESA Customers and Agents are eligible for this prize hence Vodacom staff and Merchants are excluded.
 • 3.2.1.1 The above car prize shall be RENAULT KWID which will be Vodacom branded for this promotion for one year from the date of announcing the winner.
 • 3.2.1.2 The car will be handed over at Vodacom premises after being transferred and fully registered under the winner’s name by Vodacom PLC. However, the winner will be called at Vodacom premises for the purpose of public announcement and marketing activities, and thereafter the car will be taken back to Renault warehouse until when the transfer and registration process under the particular winner’s name is completed by Vodacom PLC.
 • 3.2.1.3 Vodacom shall provide TZS 30,000 only for car fuel and the winner shall be responsible for additional fuel and other costs of taking his or her car to its final destination
 • 3.2.2 Cash Prize: The cash prizes shall be as follows;
 • 3.2.2.1 M-PESA Customer prize: 10 M-PESA Customer winners of cash prize amounting to TZS 1,000,000 each will be announced every week
 • 3.2.2.2 M-PESA Agents prize: Only one M-PESA Agent winner of a cash prize amounting to TZS 1,000,000 will be announced every week
 • 3.2.2.3 Merchants prize: Only one Merchant winner of a cash prize amounting to TZS 1,000,000 will be announced every week
 • 3.2.2.4 Vodacom Staff: 10 Vodacom Staff winner of a cash prize amounting to TZS 100,000 will be announced every week

3.3 WINNING SCORES

 • 3.3.1 The weekly M-PESA Customers winner’s score calculation shall be a total of complete transactions divided by 500
 • 3.3.2 The weekly M-PESA Agents winner’s score calculation shall be a total of complete transactions divided by 10,000
 • 3.3.3 The weekly Merchant winner’s score calculation shall be a total of complete transactions divided by 10,000
 • 3.3.4 The weekly Vodacom Staff winner’s score calculation shall be a total of complete transactions divided by 10,000

4. PROMOTION PERIOD

 • 4.1 The promotion will last for 10 weeks; starting from 12th June, 2018 to 21st August 2018 (“the promotion Period”)
 • 4.2 The duration of the campaign may be extended or shorten per Vodacom’s discretion to all or individual participant.

5. REWARD VALIDITY TIME & ALLOCATION

 • 5.1 All cash prize rewards shall be credited in your M-PESA account and will have no validity limitation hence you can utilize at your discretion.
 • 5.2 Car prize rewards shall be given to the winner at Vodacom HQs in accordance with these Conditions of Use.

6. CUSTOMER SUPPORT

 • 6.1 You shall report all your queries or complaints, suggestion, or recommendations through our contact channels namely Customer Care Center by dialing 100/101 or 0746500001 for Merchants and M-PESA Agents.

7. GENERAL

 • 7.1 Our decision on any matter pertaining to the promotion shall be final and binding to all the participants.
 • 7.2 Vodacom shall use reasonable efforts to maintain access to its Network and the M-PESA System through the term of this promotion but Vodacom does not warrant that they shall be functioning and/or available at all times. Such access is not fault-free and may be affected by factors outside Vodacom’s control such as atmospheric conditions, type of mobile equipment in use, physical or topographical features, radio frequency interference, third party services the participant uses on the Network or compliance with Applicable Law. Access to the M-PESA Service may also be temporarily interrupted during upgrading, maintenance and other works that may be required. Vodacom shall not be liable for all transactions affected by circumstances in this provision.
 • 7.3 Vodacom shall not be liable for any loss (whether direct or indirect) of profit, revenue, anticipated savings or goodwill, any loss of or corruption to data and any indirect or consequential losses, regardless of whether they were contemplated by any of the Parties when this Conditions of Use were entered into. The participants retain responsibility for compliance with the Tanzania regulatory regime and Vodacom is not liable for any regulatory fines or penalties imposed on, or third party claims made against the participants in this respect.
 • 7.4 You shall not vary any of these Conditions of Use and you shall not transfer these terms to any other person or business.
 • 7.5 These Conditions of Use are governed and interpreted in accordance with the laws of the United Republic of Tanzania
 • 7.6 All communications under these Conditions of Use shall be in either English or Swahili.
 • 7.7 We may record or monitor phone calls to our Customer Care Center or any touch point for training purposes, or review promotion that enable instructions to be verified, assessed on whether our service standards are being met.
 • 7.8 Any disputes with respect to what constitutes Complete Transactions will not be entertained
 • 7.9 These Conditions of Use shall be read in conjunction with the existing Vodacom’s M-PESA Consumer Terms and Conditions and Vodacom’s General Subscriber Terms and Conditions save where there are inconsistences or overlap these Conditions of Use shall take precedence.
 • 7.10 Dispute Resolution: If a dispute arises out of or in connection with these Conditions of Use, any Party may call a meeting for resolving such dispute by giving the other Party not less than seven (7) days’ written notice. Each Party shall use its best efforts to ensure its representatives attend such meetings. The members of the meeting shall endeavor in good faith to resolve such dispute. If any dispute referred to a meeting is not resolved at that meeting, then the dispute must be referred to a court of competent jurisdiction to adjudicate the same.
 • 7.11 All parties shall strictly comply with Anti-Corruption, Anti Money Laundering and Anti-Terrorism Laws and Regulations (CMT) including The South Africa Prevention and Combating of Corrupt Practices Act 2004, The UK Bribery Act 2010, The US Foreign Corrupt Practices Act and the Tanzanian Prevention and Combating of Corruption Act, 2007. No party shall allow movement of money through the M-PESA System, which is, forms part of the proceeds of any crime, or is intended to facilitate, aid or finance the commission of any crime, which comes to its attention. Vodacom will monitor report to the relevant authorities and act accordingly as provided by law and its internal related policies against any suspicious activity in relation to payments made to or from the M-PESA Services.

Listi ya Washindi

Droo ya wiki ya kwanza
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 PASKWINA KARON GEITA Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
# Jina Mahala Zawadi
1 JAMES LUSANA GONYA SHINYANGA 1,000,000
2 ISDORY A SANGA MASASI 1,000,000
3 GRACE  EDWARD  WILLE MBEYA 1,000,000
4 MIKA  MATAYO NDOSA DAR-ES-SALAAM 1,000,000
5 Vedastus Lufano MWANZA 1,000,000
6 DOROTHEA ADRIAN  MAYEMBA SONGEA 1,000,000
7 GOODLUCK ELIAS MOLLEL ARUSHA 1,000,000
8 ERNESTINA DEOGRATIAS MWENDA DAR ES SALAAM 1,000,000
9 ANNA H KIMARO DODOMA 1,000,000
10 AGNESS  MAZOYA   MANUMBU MWANZA 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
# Jina Mahala Zawadi
1 Athuman Saad Msongera DAR ES SALAAM 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
# Jina Mahala Zawadi
1 LIPA BARAKA ESTABLISHMENT LTD DAR ES SALAAM 1,000,000
Droo ya wiki ya pili
Grand Zawadi Winner (CAR)
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Tumaini Msosi Tukuyu Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Mashaka Mwalyoyo Dar es Salaaam 1,000,000
2 Peter Kava Zephania Dodoma 1,000,000
3 Teddy Nanah Dar es Salaaam 1,000,000
4 Mogha Lusubilo Mbeya 1,000,000
5 Vedasto Kabizi Kahama 1,000,000
6 Jetruda Ntambla Kigoma 1,000,000
7 Robert Daudi Tegeta 1,000,000
8 Habili Zuberi Makwabe Dar es Salaaam 1,000,000
9 Elizabet Richard Msaki Arusha 1,000,000
10 Paul Laurent Kihwele Iringa 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Heri Mayili Bushi Tabora 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Lipa Herry Felix Massawe Arusha 1,000,000
Droo ya wiki ya tatu
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 MKOMENI ERNEST Arusha Gari Mpya aina ya Renault Kwid (Car)
Washindi 10- Droo ya wateja.
Mobile Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Moshi Yahya Halfan Central 1,000,000
2 Adam D Emmanuel North 1,000,000
3 Ally G Mgwadu Coastal 1,000,000
4 Remigius Isaya Chihota Dar es Salaaam 1,000,000
5 Epharaim Mwandemage Nyasa 1,000,000
6 Hidaya Kapera Dar es Salaaam 1,000,000
7 Happiness P Mkumbi Dar es Salaaam 1,000,000
8 Fredius Emiry Paulo Victoria 1,000,000
9 Joshua Gidion Kikungwe South 1,000,000
10 Suleyman Abuu Gwau Tanganyika 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina VTL Region Zawadi
1 Mary Raphael Nyatto South west 1,000,000
Nambari Jina VTL Region Zawadi
1 Ramadhani Ally South west 1,000,000
Droo ya wiki ya nne
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Aloyce E Mnyamagola DODOMA Gari Mpya aina ya Renault Kwid (Car)
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Sifuni feston Mhema 1,000,000
2 MARCO MALUGU JOSEPH Victoria 1,000,000
3 KENEDY OKEYA Tanganyika 1,000,000
4 LUGANO NEWTON SAUL Dar es Salaam 1,000,000
5 SALIM RAMADHANI IDDI North 1,000,000
6 FRANK EGNO MBAWALA South 1,000,000
7 ESTHER KIMAMBO Central 1,000,000
8 EDGER SIMBAYA Dar es Salaam 1,000,000
9 RAMADHANI GUGA Coastal 1,000,000
10 JAMES SAIMON LUKOSI Nyasa 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 JAPHET ISAYA MANYELEZI DODOMA 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 LIPA AGROVET ARUSHA 1,000,000
Droo ya wiki ya Tano
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Prize
1 Salum Chande Athumani Dar Es Salaam Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Kheri Mahimbali Dar es Salaam 1,000,000
2 Eiza Nestory Dar es Salaam 1,000,000
3 Rose Leonard Massawe North 1,000,000
4 Joseph Maganga Nzega 1,000,000
5 James Hassan Daud Simiyu 1,000,000
6 lilian Simbo Dodoma 1,000,000
7 Douglas Machange Iringa 1,000,000
8 Sophia Richard Mkalawa South 1,000,000
9 Frank A Mwaifyani Kariakoo 1,000,000
10 Jackson Mlowe Dar es Salaam 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Joseph Mathias Haule Njombe Ludewa 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs Tshs
1 Lipa AbduKarim Mkwiva Tandahimba -Mtwara 1,000,000
Droo ya wiki ya Sita
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Prize
1 BARTHOLOMEO ROGATH KANJE Dar es Salaam Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Magolanga Shagembe Shelembe Dar es Salaam 1,000,000
2 Neema Dadi Bahari beach Coastal 1,000,000
3 Manfred Luoga Victoria 1,000,000
4 Sadiki Idd Geguye Tabora 1,000,000
5 Samweli Obeid Joseph Dar es Salaaam 1,000,000
6 Edward Zengo Nyasa 1,000,000
7 Laban Petro Iringa 1,000,000
8 Mtizi Mazengo Dar es Salaaam 1,000,000
9 Lugano Kaneka Mujwanga Dar es Salaaam 1,000,000
10 Hadija Ally Mohamed Babati 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Benjamini Kaini Mwasakujonga Kyela- Mbeya 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs Tshs
1 LIPA HOMEBASE ELECTRONIC COMPANY LIMITED Kariakoo - Dar es Salaam 1,000,000
Droo ya wiki ya Saba
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Prize
1 Yusuf Masatu Kibaha -Mlandizi Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Prize Tshs Tshs
1 Juma Rajabu Mdula Tanganyika 1,000,000
2 Agustino Nyambile Dar es Salaam 1,000,000
3 Weraufoo Munisi Arusha 1,000,000
4 Mary Amon Majura (Christian Elachi ) Dodoma 1,000,000
5 Rashidi J Mgomba Dar es Salaaam 1,000,000
6 Otty F Jackson Dar es Salaam 1,000,000
7 Frederick Usiku Kigamboni 1,000,000
8 Said Kalinga Iringa 1,000,000
9 Paison Joel Morogoro 1,000,000
10 Emmanuel Francis Masenge Mwanza 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 ZABLON TWAMZIHIRWA KIGHERA MWANZA 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 LIPA MAYENZE ALPHONCE MASANYIWA Kahama 1,000,000
Droo ya wiki ya Nane
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Prize
1 Glory Lyatuu Morogoro Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Magreth Ombeni Munkemi Dar es Salaaam 1,000,000
2 Wilfred Japhet Kosta Mbeya 1,000,000
3 Sawa M Sawa Tanga 1,000,000
4 Abbas Chandoo Dar es Salaam 1,000,000
5 Kalumna Seth Singida 1,000,000
6 Saimon Maro Dar es Salaam 1,000,000
7 Martin B John Kigoma 1,000,000
8 Bakari Ally Ally Mafinga 1,000,000
9 Happyfidely Mlay Mwanza 1,000,000
10 Ramadhan Shabani Kabwe Mwanza 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 LILIAN BENEDICT MSAKI Dar es Salaam 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 LIPA SALIM J KAHEMA Arusha 1,000,000
Droo ya wiki ya Tisa
Zawadi Kuu ya Gari
Nambari Jina Mahala Prize
1 Adolf Mlay Tanga Gari Mpya aina ya Renault Kwid
Washindi 10- Droo ya wateja.
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Deodatha Speratus Nestory Victoria 1,000,000
2 Dayness Mwinuka Mbeya 1,000,000
3 Anita Rose Mpungwe Dar Es Salaam 1,000,000
4 Nasra Msekeni Central 1,000,000
5 Kesther Mauma Dar Es Salaam 1,000,000
6 Obadia Joseph Dar es Salaam 1,000,000
7 Mwita Chacha Sumbawanga 1,000,000
8 Vumilia Lusubilo Tukuyu 1,000,000
9 Ali Mindria Lindi 1,000,000
10 Josephine Mushi Arusha 1,000,000
Mshindi (Wakala wa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Japhary Muhidini Senyau Coastal 1,000,000
Mshindi (Lipa kwa M-Pesa)
Nambari Jina Mahala Prize Tshs
1 Lipa Nyota Hosea Kilamlya Mbeya 1,000,000
Droo wiki ya kumi
Zawadi kuu ya gari
Nambari Jina Mahala Zawadi
1 Lucy Sarah Ismail Dar Es Salaam Brand new Renault Kwid
10 Winners - Customers Draws
Nambari Jina Mahala Zawadi Tshs
1 PASCHAL MASHAURI MPANDA 1,000,000
2 LAURENCIA MSILU IGNAS IRINGA 1,000,000
3 GAGI GAGI KAHAMA 1,000,000
4 PASCHAL PETER LUHUNA Central 1,000,000
5 MBONEA GODSON MZILAYI Dar Es Salaam 1,000,000
6 FELIX K MUSHI ARUSHA 1,000,000
7 JAMES R MALAMSHA MKURANGA 1,000,000
8 MASOUD ALI OMAR KINONDONI 1,000,000
9 EZEKIEL JOSEPH MAKANDILA BARIADI 1,000,000
10 GASPAR PAUL MSALALI MANYONI 1,000,000
Agent Winner
Nambari Jina Mahala ZawadiTshs
1 BEE BOUTIQUE DAR ES SALAAM 1,000,000
Merchant Winner
Nambari Jina Mahala ZawadiTshs
1 ANDRON MENDES COASTAL 1,000,000

Kwa nini utumie M-Pesa?

 • Usalama wa kifedha.
 • Malipo ya huduma,faini na malipo ya huduma za serikali
 • Malipo ya wafanyabiashara na malipo mengine mtandaoni.
 • Tuma na kupokea pesa kutoka popote Tanzania na Kenya.
 • Inaruhusu kuhamisha pesa moja kwa moja kutoka benki. (hakuna haja ya kwenda na kutoa pesa benki).
 • Kununua muda wa maongezi na vifurushi moja kwa moja.
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa