Ili kampuni kubwa ziweze kuona mafanikio, ni lazima wawe na mtandao unaowapa mwunganisho kila pale walipo.
Vodacom Business inawapa teknolojia za kisasa zinazowapa huduma za kuwawezesha zaidi.

Kampuni Kubwa

Toll Free

Nambari ya toll-free ni nambari maalum zinazopewa kwa kampuni ili wateja wao waweze kuwasiliana nao kwa urahisi bila gharama kwao.

Huduma hii inarahisisha uwezo wa kuhudumia simu 30 kwa mara moja na kuboresha mawasiliano na wateja wa kampuni ya aina yoyote.

Ukiwa na namba ya toll-free inaipa kampuni yako umaarufu na kukuza biashara yako zaidi.

Niko Tayari Kuzungumza na Timu ya Mauzo

Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa