Sababu kuu za kutumia M-Pesa

  • Tuma na kupokea pesa kupitia mtandao uliosambaa zaidi Tanzainia
  • Pokea pesa kutoka zaidi ya nchi 160 popote duniani kwa kupitia Western Union.
  • Huduma inayoaminika zaidi na Watanzania zaidi ya milioni 5 wanatumia M-Pesa.
  • uduma kwa wateja muda wowote. Piga 100 wakati wowote
  • Bima ya Faraja
  • Weka mpaka Tsh milioni 5 kwenye akaunti yako na fanya miamala kwa usalama zaidi.kwa ajili ya kufanya miamala.
  • Tuma mpaka Tsh milioni 1 kwenda kwenye mtandao wowote Tanzania.
  • Nununua muda wa maongezi wakati wowote na mahali popote kwa M-Pesa.
  • Fanya manunuzi ya bidhaa na huduma kwa M-Pesa
  • Fanya miamala ya Kibenki mahali popote. Hamisha kwa usalama pesa kutoka kwenya akaunti yako ya benki kwenda M-Pesa.
Hakimiliki © 2020 Vodacom Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa